SHILOLE MJAMZITO?
![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR5XlY2GbYDgWnZinyaSdm5qAwtanOlkbJ62P5GbUl3EEnaYknFpDeghaZmMRV8BpD9gjV6PoFWQdvWeGAPIRVYW/timthumb.php.jpg?width=650)
Mussa Mateja Minong’ono! Tumbo la staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ limezua maswali kwa wadau kibao kama ni la kawaida au tayari mwandani wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Muziwanda’ ameshampachika ujauzito. Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Shilole au Shishi Baby alizua minong’ono hiyo wikiendi iliyopita nyumbani kwa mwigizaji, Aunt Ezekiel Grayson maeneo ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
10 years ago
Bongo515 Dec
Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Jokate mjamzito?
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo, anadaiwa kuwa na ujauzito wa miezi miwili wa mwanamuziki, Ali Kiba anayedaiwa kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi ingawa mara kwa mara wamekuwa wakikana uhusiano huo.
Kwa mujibu wa mtandao wa kenyamoja taarifa za mrembo huyo mwenye haiba na mvuto kuwa na ujauzito wa miezi hiyo miwili zilianzia katika blog mbalimbali zinazomilikiwa na Watanzania.
Lakini wakati akizungumza katika mahojiano ya redio Clouds FM, Ali Kiba alisema hakutarajia mtoto na Jokate, huku...
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Kim kardashian ni mjamzito
10 years ago
CloudsFM30 Oct
AUNTY EZEKIEL MJAMZITO?
Habari zimeenea kuwa staa wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel kuwa ni mjamzito,kupitia mtandao wa Instagram baadhi ya mashabiki wake wamekuwa wakimuuliza kuwa kama ni mjamzito kutokana na muonekano wa tumbo lake kwa sasa kuwa ni kubwa kama linavyoonekana kwenye picha wakati akimlisha keki msanii mwenzake JB wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa.
Baadhi ya maswali yalikuwa hivi: mamibeuty wow mum kijacho look gud my dia congrlnt@auntyezekiel
jweekendy_girl Mbona km mama...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39fnlIVq7rrd2Y9M0cZr71TY53MAH4nC-g0gBV6A2PMS3pmEs-mNE*NGB9K5q0gWZrLFSin-8zXjYQ9PhtdfG0pK/sickle.jpg?width=650)
UPUNGUFU WA DAMU KWA MJAMZITO -2
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pezQEPsid2ieU-5jqghzokC1QbnkdnZAhI2ZniqdvrVxTw82AScC3-KdUGWSuQzK0W0pQ0Rh46JkAMr*IKRPd9o2XgW4zvKi/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
KALETE UTUMBO WA MBU MJAMZITO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wjLHhX7eljzg-rUFTKPawkPQFE4hz8Mvh5s94VIcXfWReeOIsj07C470*FizzS2zyVT2O8beD1JhJ0F8-z0Ga19wzS8XvX*J/mjamzitocopy.jpg?width=650)
MJAMZITO ATIMULIWA KWENYE NYUMBA