Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shinyanga wazindua abiria paza sauti

JESHI la polisi mkoani Shinyanga kupitia kikosi cha usalama barabarani kimezindua kampeni ya “Abiria Paza Sauti” yenye lengo la kuwataka abiria kushirikiana ili wadhibiti na kupunguza ajali za barabarani hasa kipindi cha kuelekea siku za sikukuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mabalozi wa Usalama barabarani ‘RSA’ wazindua kampeni ya “Abiria paza sauti”

PAMOJAA

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Usalama Barabarani (RSA) katika moja ya harakati za kampeni yao hiyo mpya ya “Abiria paza sauti”.

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Asasi ya kiraia ya Road Safety Ambassadors (RSA) imezindua kampeni ya Abiria paza sauti kipindi hiki ambacho tunaelekea kumaliza mwaka 2015 ikiwa na lengo la kutokomeza ajari ambazo zimekuwa zikijitokeza mwisho wa mwaka.

Akizungumzia kampeni hiyo,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kamanda Mpinga azindua Operesheni Paza Sauti, jijini Dar leo

pix 1

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani,DCP  Mohamed Mpinga, akisalimiana na Mabalozi wa Usalama Barabarani, muda mfupi kabla ya kuzindua Operesheni ijulikanayo kwa jina la “Paza Sauti” yenye lengo la kuwaelimisha abiria ili waweze kutoa taarifa mara wanapoona kuna viashiria vya uvunjifu wa sheria za barabarani. Operesheni hii ilizinduliwa jijini Dar es Salaam leo.

pix 2

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed Mpinga, akitoa maelekezo ndani ya moja ya basi linalofanya safari zake...

 

9 years ago

Michuzi

KAMANDA MPINGA AZINDUA OPERESHENI PAZA SAUTI,JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohamed Mpinga, akisalimiana na Mabalozi wa Usalama Barabarani, muda mfupi kabla ya kuzindua Operesheni ijulikanayo kwa jina la “Paza Sauti” yenye lengo la kuwaelimisha abiria ili waweze kutoa taarifa mara wanapoona kuna viashiria vya uvunjifu wa sheria za barabarani. Operesheni hii ilizinduliwa jijini Dar es Salaam leo. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed Mpinga, akitoa maelekezo ndani ya moja ya basi linalofanya safari ...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI PAMOJA NA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MADEREVA NA ABIRIA KUPAZA SAUTI

Mkuu wa kitengo cha elimu kwa Umma kitengo cha Usalama barabarani makao makuu ya Polisi ASP,Abel Swai(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Maofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro pamoja na Ofisa wa Vodacom Tanzania, Heladius Kisiwani(katikati) kabla ya kuanza zoezi la kutoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi wakati wote wakitumia vyombo vya moto ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya”Wait to Send”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.

Desemba 02,2015- Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameendelea na ziara za kushtukiza kwenye maeneo ambayo ni kero katika wilaya hiyo.Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi,mkuu huyo wa wilaya akaabukia katika soko kuu la manispaa ya Shinyanga lililojengwa kabla ya uhuru wa Tanganyika..Ikawa faraja kwa Wafanyabiashara wa soko hilo waliodai kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiilalamikia halmashauri ya manispaa kutokana na kushindwa kulifanyia ukarabati soko hilo.Akiwa katika soko hilo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA


Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani