SHIRIKA LA OCODE LAWAJENGEA DARASA JIPYA KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA AWALI SHULE YA MSINGI KIBWEGERE
Mkurugenzi wa shirika la Ocode Joseph Jackson wa kati kati akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Manispaa ya ubungo Beatrice Dominic wa kushoto pamona na Afisa elimu wa manispaa hiyo kulia wakiwa wameshikilia upete kwa ajili ya kuukata ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa darasa moja la wanafunzi wa elimu ya awali Kibwegere ambalo limetolewa na shirika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi12 Apr
9 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi06 Dec
SHULE YA AWALI YA ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL SASA KUANZA KUTOA ELIMU YA MSINGI MWAKANI, MAHAFALI YAO YAFANA
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.
Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.
Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...
10 years ago
Vijimambo08 Oct
FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B
10 years ago
VijimamboMAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI SAMPULI ZA MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI MADARASA YA AWALI LINDI MJINI
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania
WARIOBA IGOMBE
NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.
Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.
Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...
10 years ago
Mtanzania03 Sep
UTAFITI: Wanafunzi shule za msingi wakithiri kwa ngono
Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kitengo cha magonjwa ya afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha sampuli tathmini ya matokeo ya mradi huo uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono. kulia ni mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema Kilonzo. Na Mppigapicha Wetu
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
UTAFITI uliofanywa na mradi wa PREPARE...
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Rita kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi shule za msingi