Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shirikisho Elimu ya Juu lawapa somo viongozi wa mikoa CCM

SHIRIKISHO la vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) limelaani baadhi ya viongozi wa mikoa wa chama hicho, kujitokeza hadharani kuwasaidia kwa kuwanadi baadhi ya watia nia ya kugombea urais huku wakiwaacha wengine na kusema kwamba jambo hilo lilikuwa si la busara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMKO LA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA-CCM

 

SHIRIKISHO la Taifa tunawapongeza wajumbe wote wa vikao vyote vya maamuzi ndani ya chama chetu kwa kutenda haki na kumteua mgombea safi, muadilifu, mchapa kazi, mzalendo, ambaye hakuwa na kundi na hadi kwa sasa hana kundi, mwenye dhamira ya dhati na utashi wa kudumisha umoja na mshikamano ndani na nje ya chama chetu.
Shirikisho Taifa tunapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mheshimiwa Daktari John Pombe Magufuli na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kuteuliwa kuwa wapeperusha bendera ya CCM...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI APONGEZWA NA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU

Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania, Hamid Saleh Muhina (kushoto), Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu, Zainab Abdallah Issa (katikati)  na Katibu wa Uchumi na Fedha, Luhende R. Luhende. Viongozi wa shirikisho wakisikiliza maswali yaliyoulizwa na wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Michuzi

JK afungua Mkutano wa Shirikisho la Vyuo vya elimu ya Juu Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu nakala za kanuni za Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu kuzizindua rasmi wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani mjiini Dodoma leo. Kulia ni katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,watatu kulia ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula na kushoto ni mlezi wa shirikisho hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknologia Ndugu January Makamba. Rais Kikwete...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete affungua Mkutano wa Shirikisho la Vyuo vya elimu ya Juu Dodoma

Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu mjini Dodoma.Mwenyekiti wa CCM Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu nakala za kanuni za Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu kuzizindua rasmi wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani mjiini Dodoma leo. Kulia ni katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,watatu kulia ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula na...

 

9 years ago

CCM Blog

SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAJA NA MIKAKATI MIPYA KIUTENDAJI


 Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Zainab Abdallah, akizungumza na waandishi wa habari, jana jijini Dar es Salaam, Wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Daniel Zenda, Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha, Luhende Luhende na Katibu wa Idara ya Elimu, Tafiti na Uongozi, Ally Hapi. (Picha na Bashir Nkoromo).


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa habari,
Kamati ya Uratibu ya Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Taifa, ilifanya...

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI YA URATIBU YA SHIRIKISHO LA VYUO ELIMU YA JUU YAANZA VIKAO VYA SIKU MBILI

 Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Zainab Abdallah (MNEC) akiongoza kikao cha Kamati ya Uratibu Taifa ya la Vyuo vya Elimu ya juu kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Zainab Abdallah (MNEC) akiongoza kikao cha Kamati ya Uratibu Taifa ya la Vyuo vya Elimu ya juu, kulia ni Katibu Mtendaji Ally S. Hapi

 Mwenyekiti wa Shirikisho la...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda awapa somo viongozi wa Mbeya kurudisha heshima ya elimu

Hivi karibuni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliwaagiza viongozi wa mkoa, wilaya na halmashauri zote mkoani Mbeya kujipanga kwa lengo la kurudisha heshima ya Mkoa wa Mbeya katika sekta ya elimu.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yawapiga msasa viongozi wa elimu ngazi ya Mikoa

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Serikali itaendelea kutoa mafunzo kwa watendaji wa Halmashauri na Mikoa juu ya usimamizi wa fedha, manunuzi na takwimu katika masuala ya elimu nchini ili kuwajengea uwezo viongozi hao katika masuala ya usimamizi wa fedha za Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari awamu ya pili (MMES II).  Kauli hiyo imetolewa mjini Bagamoyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia wakati akifunga mafunzo ya viongozi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani