SHOGA: MFANYIE MASAJI MUMEO KUMUONDOA UCHOVU!
Shoga, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu anayetupenda licha ya sisi kutompendeza kutokana na mambo tunayoyafanya kwa makusudi na kutokukusudia, naamini u bukheri wa afya.Kwa upande wangu naendelea vizuri na kazi na familia yangu haina tatizo isipokuwa nasikitishwa na ajali zinazotokea mara kwa mara katika nchi yetu na kuua watu wengi kwa sababu ya uzembe wa madereva.
Shoga, baada ya kusema hayo ngoja nirejee kwenye mada yangu ya leo inayohusiana na kuwafanyia masaji waume zetu kwa lengo la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLUbkrW853sKPvKM1sUD4ERoZoqMrs2aEw*PbSErEDFd6SCtUEi5yWcTkjBwffoKzCKdEtgUwKPUus-DOyYl4He/EveTorreswwedivas31020883642722.jpg?width=650)
SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Mumeo aende masaji wakati ujuzi unao?
SHANGINGI leo niwape hi, nimejisikia kuchanganya na kizungu kidogo kwa sababu mada inahitaji hivyo, si unajua mambo ya masaji hayo ni ya wenzetu, zamani usingesikia bibi kaenda jumba la masaji!
Mada itawafundisha jinsi ya kumlea mume pale anapolalamikia maumivu ya mwili; wanawake tumekuwa na tabia kwamba mumeo akikwambia anajisikia vibaya, unakimbilia kumwambia aende hospitali au unakwenda kumnunulia panadol apunguze maumivu…tunakosea kabisa.
Daktari, nesi au tabibu ni wewe mwenyewe shoga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-T0-ThRxUbUhC4lc1MvAXL3L0fWbAeX0kvJUbd26gXN08vsMjAOr1U1O7GWuWUo*g*1PVLAeqN8b2qlAz*hUZZL/LOVE3.jpg)
SHOGA: MTOTO ASIKUTENGANISHE NA MUMEO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ6*YcsC3scmmbdQqhiCODcgls2ZLwJGaZT4JiNwlsOCKRsloDcMwCfrT1BisOW0zGPF73EUUnekHjZDyH3UZW8QW/LOVE.jpg?width=650)
SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKlkF26UHpalz99E86PzPtH-SZx5-Xn0HQNR-vl*B6l4jor2QkFPX6oidvKus2eidDA9ljsQIWpQUFfryFiEgrSR/LOVE1.jpg?width=650)
SHOGA USIMWAMBIE MUMEO UMECHOKA, UTAACHWA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx23S5CJrG-SuiqdayiwgG3Amj8TGb2WlzoSAX5VcTGCA3el67epRDdBH899I2bxWuD9wWmHI-2KBDgs-UWZS7jPQ/unhappywoman.jpg?width=650)
SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSKiJUZr1KcX1diKjG4lO7-lFCe*2PJwURqvTPEdkAlSzBbqumFvMJ7bNMeJ8W0spVLaDUoFGFvVUc-olD5fHUX2/LOVE3.jpg)
SHOGA: MLILIE MUMEO ASIWAWAZE WENGINE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5UMQ6g25lt71eTzFDEBek8cdGZlxFaMcj5QJATZscutwb9vQ8J-3XzLx*Z2e7ZVGgXYPE2Q6BxQuWEeTOSbs5x0/ay_109010459.jpg)
SHOGA; VAA RANGI HIZI UMPAGAWISHE MUMEO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzBj02ewQ5TjdX7Ii36uxnwx*VX6MitfROMFm5KklNU*t0okTgp9KBqmgBH3YgPpvWCMYCExIlmeR5IbOT91q3cz/52cee1aeb3caa.image.jpg?width=650)
SHOGA: MPE MASHAMSHAM MUMEO ATULIE NYUMBANI!