Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Show ya #MBAR2015 Eleganza yafana Dar es Salaam Serena

DSC_0277
DSC_0338Meneja Masoko wa CFAO Motors ltd. Sheikha Said (wa pili kulia) akitoa maelezo ya vijarida vya matoleo mapya ya magari aina ya Mercedes Benz kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto). Kulia ni Sales Representative wa CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba.DSC_0339Sales Representative wa Kampuni ya CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba akizungumza jambo na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto) alipotembelea meza ya Mercedes Benz magari yanayouzwa na kampuni ya CFAO Motors.
DSC_0336

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Show ya #MBAR2015 Eleganza yafana Dar es Salaam Serena usiku wa kuamkia leo

DSC_0277

DSC_0338

Meneja Masoko wa CFAO Motors ltd. Sheikha Said (wa pili kulia) akitoa maelezo ya vijarida vya matoleo mapya ya magari aina ya Mercedes Benz kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto). Kulia ni Sales Representative wa CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba.

DSC_0339

Sales Representative wa Kampuni ya CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba akizungumza jambo na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto) alipotembelea meza ya Mercedes Benz magari yanayouzwa na kampuni ya CFAO...

 

10 years ago

Dewji Blog

#MBAR2015 Eleganza Fashion show Red carpet swagga and After Party @ Dar es Salaam Serena Hotel

DSC_0359

Warembo waalikwa katika pozi la Ukodak.

DSC_0346

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, ambao ndio wadhamini wakuu wa#MBAR2015 Eleganza Show kupitia brand ya Mercedes Benz,  Bw.Wayne McIntosh (kushoto) akipozi kwa picha na binti mrembo (katikati) aliyembatana na Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Tulip, Bw. Aatish Ladwa (kulia).

DSC_0349

DSC_0362

Mwandaaji wa Miss Universe Tanzania na Mkurugenzi wa Compass Communications, Maria Sarungi (kushoto) akipozi na msaidizi wake.

DSC_0364

Mwandaaji wa Miss Universe Tanzania na...

 

10 years ago

Michuzi

ally rehmtulla's eleganza on march 21, 2015 @ Dar es salaam serena hotel

Ally Rehmtullah 2015 - watch LIVE online www.ar.co.tz on 21st March 2015 8pm onwards

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA TANZANIA BLOGGERS NETWORK YAFANA SANA,SERENA HOTEL JIJINI DAR

Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga pamoja na baadhi ya wadhamini waliofanikisha hafla hiyo,iliyofanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi...

 

10 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena ambao ni wakereketwa wakubwa wa mazingira, waliadhimisha siku hii asubuhi ya leo kwa kufanya usafi barabara ya Ohio kuzunguka mpaka ufukwe wa bahari ya Hindi.
Akiongea  mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA

Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:

1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na 
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani