Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya bweni kwa watoto wa Kihadzabe wafadhiliwa maji

IMG_0106

Wanafunzi wa Kihadzabe, wakiwa ndani ya bweni, wanakosoma katika shule ya msingi Munguli, iliyopo wilaya ya Mkalama, Mkoani Singida, baada ya agizo la Mkuu wa Mkoa huo Dk. Parseko Kone kuamuru wajengewe bweni, ili waondokane na maisha ya kale, kwa kuishi wakitegemea nyama, asali, mizizi na matunda pori, kama chakula chao kikuu-(Picha na Nathaniel Limu-Singida).

IMG_0107

 

Na Nathaniel Limu, Mkalama

ZAIDI ya watu 6,000, wakazi wa kijiji cha Munguli, Wilaya ya Mkalama, Mkoani Singida, watanufaika na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Zitto Kabwe akabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija, Shinyanga

Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe amekabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija iliyoko mkoani Shinyanga baada ya kutoa msaada wa kujenga bweni hilo.  Katika makabidhiano hayo Mhe.  Zitto alisema Tarehe 18 April mwaka huu alitembelea Shule hiyo akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mama Anna E Mghwira kwa lengo la kusalimia watoto na walimu wao na kutazama mazingira ya watoto.  "Nilifika hapa kwa lengo la kuona mazingira ya shule na watoto...

 

11 years ago

Michuzi

Bweni la shule ya Sekondari Erikisongo Wilayani Monduli lateketea kwa moto leo

Kiasi cha wanafunzi 100 wa shule ya sekondari ya Erikisongo wilayani Monduli wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya mabweni yao kuteketea na moto leo (Jumatano) asubuhi.
Moto huo ambao inaelezwa chanzo chake ni hitilafu ya umeme ilitokea wakati wanafunzi wote wako darasani.
Hakuna mtu yoyote aliyedhurika lakini mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea. Kikosi Cha zimamoto kutoka Arusha kilifika wakati tayari mabweni hayo yameshateketea.
Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh Edward Lowassa...

 

11 years ago

Michuzi

WATOTO 287 WAFADHILIWA MASOMO NA COMPASSION IRINGA

 Mgeni Rasmi Daniel Kadinde akimkabidhi zawadi mwanafunzi Monalisa Sungwa aliyefanya vizuri katika masomo yake. Monalisa ni mmoja ya wanafunzi anayesomeshwa na Compassion. Mgeni rasmi Daniel Kadinde akizungumza na watoto wahitaji katika ukumbi wa kanisa la Anglikana Ipogoro katika siku ya shukrani.  baadhi ya watoto wenye uhitaji wakifatilia kwa makini burudani iliyokuwa ikitolewa na kwaya ya watoto wenzao wa Ebeneza.   Kwaya ya watoto Ebeneza akitumbuiza katika siku ya kutoa shukrani...

 

10 years ago

Michuzi

DORIS MOLLEL KATIKA UZINDUZI WA BWENI LA KWANZA KWA WATOTO WA JAMII YA HADZABE, SINGIDA

Balozi wa Wahadzabe na Miss Singida Kanda ya Kati 2014/1,Doris Mollel (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati alipohudhuria kwenye hafla ya ufunguzi wa bweni jipya maalum kwa watoto wa jamiii ya hadzabe katika shule ya msingi Munguli, wilaya ya Mkarama mkoani Singida. Uzinduzi wa bweni hili ni matunda ya jitihada za Serikali ya wilaya hiyo na mkoa wa Singida kuwahamasisha watoto hao kuhudhuria madarasa bila kukosa na kujifunza maisha ya kawaida kama watoto wa jamii nyingine....

 

9 years ago

Vijimambo

BUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.

Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.

Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...

 

9 years ago

Michuzi

BUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao  cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Mwananchi

Shule za msingi za bweni na athari za kimalezi

>Hivi karibuni, serikali ya Rwanda imepiga marufuku shule za bweni kwa wanafunzi wa elimu ya msingi. Wizara ya Elimu ya nchi hiyo, imetoa muda wa miaka mitatu kwa shule za msingi za bweni kufunga huduma hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

TANAPA YAJENGA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU.

Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya Sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA). Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa Tanzania wakati wa hafla ya makabidhiano ya jengo la Bweni la wasichana...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI IDODI, IRINGA


MOTO mkubwa ambao chanzo chake kinatajwa kuwa ni hitirafu ya umeme umeteketeza bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Idodi wilaya ya Iringa mkoani Iringa .Tukio hilo limetokea muda wa saa 4 jana asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani wakiendelea na masomo.Kamanda wa jeshi la Zimamoto Mkoani Iringa, Inspekta Kennedy Komba alisema kuwa bweni hilo limeteketea lote na kuunguza mali zilizokuwamo kwenye bweni hilo na chache kuokolewa na wananchi waliowahi kufika eneo la tukio kusaidia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani