Shule za Dar, Pwani zapewa baiskeli 317
BAISKELI 317 zimetolewa kwa ajili usafiri kwa wanafunzi wanaoishi mbali na shule katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Msaada huo umetolewa na taasisi ya Uholanzi inayojihusisha na uboreshaji wa elimu (Niche) kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu nchini (TET).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Dec
Shule za Biharamulo zapewa madawati 350
SHULE tano za msingi katika kata ya Kaniha wilayani Biharamulo mkoani Kagera, zimenufaika na msaada wa madawati 350 yenye thamani ya Sh milioni 17.5, yaliyotolewa na kampuni ya Stamigold inayoendesha mgodi wa Biharamulo.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-i_BQ2463uMU/VkDy-yC2B1I/AAAAAAAIFH0/CadFAzI4WWw/s72-c/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
Msaada wa madawati kwa shule 15 za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani
![](http://3.bp.blogspot.com/-i_BQ2463uMU/VkDy-yC2B1I/AAAAAAAIFH0/CadFAzI4WWw/s640/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
PSPF yasaidia shule Pwani
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) na Flaviana Matata Foundation wametoa vifaa vya shule kwa wanafunzi wenye uhitaji wilayani Kisarawe na Mkuranga, mkoani Pwani. Akikabidhi vifaa hivyo mwishoni...
10 years ago
MichuziWAMA YAKABIDHI MAJENGO YA MADARASA SHULE YA SEKONDARI NYAMISATI MKOA WA PWANI WILAYA YA RUFIJI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziLAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Mbio za baiskeli zasogezwa, zarudishwa Dar es Salaam
9 years ago
VijimamboMAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI INAYOMILIKIWA NA JESHI LA MAGEREZA YAFANA MKOANI PWANI
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI