Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule za Biharamulo zapewa madawati 350

SHULE tano za msingi katika kata ya Kaniha wilayani Biharamulo mkoani Kagera, zimenufaika na msaada wa madawati 350 yenye thamani ya Sh milioni 17.5, yaliyotolewa na kampuni ya Stamigold inayoendesha mgodi wa Biharamulo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Shule za Dar, Pwani zapewa baiskeli 317

BAISKELI 317 zimetolewa kwa ajili usafiri kwa wanafunzi wanaoishi mbali na shule katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Msaada huo umetolewa na taasisi ya Uholanzi inayojihusisha na uboreshaji wa elimu (Niche) kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu nchini (TET).

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule ya Magole yapatiwa madawati

SHULE ya Msingi Magole iliyopo wilayani Kilosa, Morogoro imepatiwa msaada wa madawati 32 na Benki ya Posta Tanzania yenye thamani ya sh milioni tano. Meneja wa benki hiyo tawi la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule za msingi zahitaji madawati milioni 3

SERIKALI imesema shule za msingi nchini zinahitaji jumla ya madawati milioni 3.3 na kwamba yaliyopo ni milioni 1. 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi...

 

10 years ago

Habarileo

CRDB yakabidhi madawati 100 shule ya Mwenge

Askofu Mkuu wa KKKT Dk Alex Malasusa (kushoto) akipokea mchango kutoka kwa mtoto ambaye alijitokeza kuchangia ujenzi wa shule ya msingi ya kanisa hilo Misioni ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Fadhili Abdallah).SHULE ya msingi Mwenge iliyopo manispaa ya Shinyanga imepatiwa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni kumi kutoka benki ya CRDB .

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI KISEKE

Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiseke - Elias Sita anaye soma darasa la Nne, akifurahi pamoja na Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB - Bw. Waziri Barnabas baada ya shughuli ya makabidhiano ya madawati shuleni hapo. Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza  akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NIC YATOA MADAWATI 25 SHULE YA MSINGI CHAMANZI

 Mkuu wa Biashara za Kibenki, Rahim Kanjii akipeana mkono na Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Chamanzi, Ancent Shayo  mara baada ya kutoa msaada wa meza 25 na  viti 25.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii BENKI ya NIC imetoa msaada wa madawati 25 katika shule ya msingi Chamanzi yenye thamani ya Sh.Milioni tatu kutokana na shule hiyo kukabiliwa na changamoto ya madawati.
Akizungumza baada ya kukabidhi  madawati  hayo, Mkuu wa Biashara za Kibenki,Rahim Kanjii amesema kuwa shule hiyo waliona ina...

 

9 years ago

Michuzi

Msaada wa madawati kwa shule 15 za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani

Wanafunzi wa shule ya msingi Tabata Kisukulu wakiendelea na vipindi baada ya kupata msaada wa madawati 100 kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania. Msaada huo ni sehemu ya msaada wa madawati 1500 yaliyotolewa kwa shule 15 za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania na Benki ya KCB.

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Ndugulile akabidhi madawati 650 kwa Shule 12 Tarafa ya Mbagala

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Dk Faustine Ndugulile, akiwahutubia wazazi na wanafunzi wanaotoka katika shule 12 za sekondari katika tarafa ya Mbagala kabla ya kuzikabidhi shule hizo jumla ya madawati 650 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 69,makabidhiano yaliyofanyika katika shule ya sekondari Mbagala. Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Dk Faustine Ndugulile, akikata utepe kuashiria tendo la kukabidhi madawati 650 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60, kwa shule 12 za sekondari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani