Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya Magole yapatiwa madawati

SHULE ya Msingi Magole iliyopo wilayani Kilosa, Morogoro imepatiwa msaada wa madawati 32 na Benki ya Posta Tanzania yenye thamani ya sh milioni tano. Meneja wa benki hiyo tawi la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Shule yapatiwa msaada wa mil 14/-

MFANYABIASHARA na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Arif Abri ametoa msaada wa sh milioni 14 kwa shule ya Sekondari ya Nyerere iliyopo wilaya ya Iringa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule ya Viziwi Buguruni yapatiwa vifaa vya Tehama

WIZARA ya Sayansi na Teknolojia imeutaka uongozi wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni kuhakikisha vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walivyokabidhiwa kwa ajili ya wanafunzi vinatumika kama vilivyokusudiwa....

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba

Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]

The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MTEMANI WINGWI MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAPATIWA VIFAA VYA KISASA VYA MAKTABA

Na: Moh’d Said  Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Tukio hilo lilifanyika leo katika viwanja vya shule ya mtemani mbele ya kamati ya shule hiyo ambapo muhisani na mdau wa maendeleo nchini ambaye pia ni mhadhiri kutoka chuo kikuu cha London, SOAS, Bwana Yussuf Shoka Hamad alikabidhi zawadi hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule za msingi zahitaji madawati milioni 3

SERIKALI imesema shule za msingi nchini zinahitaji jumla ya madawati milioni 3.3 na kwamba yaliyopo ni milioni 1. 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi...

 

10 years ago

Habarileo

Shule za Biharamulo zapewa madawati 350

SHULE tano za msingi katika kata ya Kaniha wilayani Biharamulo mkoani Kagera, zimenufaika na msaada wa madawati 350 yenye thamani ya Sh milioni 17.5, yaliyotolewa na kampuni ya Stamigold inayoendesha mgodi wa Biharamulo.

 

10 years ago

Habarileo

CRDB yakabidhi madawati 100 shule ya Mwenge

Askofu Mkuu wa KKKT Dk Alex Malasusa (kushoto) akipokea mchango kutoka kwa mtoto ambaye alijitokeza kuchangia ujenzi wa shule ya msingi ya kanisa hilo Misioni ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Fadhili Abdallah).SHULE ya msingi Mwenge iliyopo manispaa ya Shinyanga imepatiwa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni kumi kutoka benki ya CRDB .

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI KISEKE

Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiseke - Elias Sita anaye soma darasa la Nne, akifurahi pamoja na Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB - Bw. Waziri Barnabas baada ya shughuli ya makabidhiano ya madawati shuleni hapo. Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza  akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani