Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHY-ROSE BHANJI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR KUFAFANUA UZUSHI UNAOENEZWA KUHUSU YEYE

Mbunge wa  Bunge la Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam jana kufafanua uzushi unaoenezwa na baadhi ya wabunge wa bunge hilo kuhusu yeye, na baadhi yao wakisusia kushiriki vikao vya bunge hilo kushinikiza aondoshwe kwenye kamati ya uongozi kitu ambacho amekipinga akitaka wenye madai hayo wawasilishe kwanza madai yao yajadiliwe na yeye ajitetee.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Shy-Rose Bhanji Akutana na Waandishi wa Habari Jijini Dar kufafanua Uzushi Unaoenezwa Kuhusu Yeye


Mbunge wa  Bunge la Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam jana kufafanua uzushi unaoenezwa na baadhi ya wabunge wa bunge hilo kuhusu yeye, na baadhi yao wakisusia kushiriki vikao vya bunge hilo kushinikiza aondoshwe kwenye kamati ya uongozi kitu ambacho amekipinga akitaka wenye madai hayo wawasilishe kwanza madai yao yajadiliwe na yeye ajitetee. mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mbunge wa Bunge hilo Twaha...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. SHY-ROSE BHANJI AKANUSHA HABARI ZILIZO ZAGAA MTANDAONI NA KUDAI NI MBINU ZA KUMCHAFUA.

Wiki hii imekuwa ngumu sana kwa Mhe. Shy-Rose Bhanji baada ya habari kuzagaa mtandaoni na kudai kwamba alilewa sana na kuanza kufanya mambo ya ajabu hadi Bunge analo tumikia kuahirishwa. Baada ya shtuma hizo mbunge huyo ameamua kufunguka kupitia ukurasa wake wa Facebook na kukanusha habari hizo kwa ujumbe ufuatao.
Mimi Shy-Rose Bhanji, Mbunge wa Afrika Mashariki-Tanzania, ninapinga vikali na kwa nguvu zote shutuma zilizotolewa dhidi yangu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.Shutuma hizi...

 

10 years ago

Vijimambo

SHY-ROSE BHANJI ALONGA NA WANAHABARI DAR LEO

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari hii leo. Kulia ni Mbunge mwenzake wa EALA kutoka Tanzania, Twaha Isa Tasilima.Shy-Rose Bhanji akionesha moja ya picha za makamishna waliodai kujiuzulu nyadhifa zao lakini bado walikuwa wakiongoza kamati zao. Picha kwa hisani ya Father KidevuTaarifa Kutoka Kwa Mbunge Wa Bunge La Afrika La Afrika Mashariki

 

10 years ago

Michuzi

Bid to expel Shy Rose Bhanji from EALA flop

Suspension of a member of the East African Legislative Assembly from Tanzanian, Shy Rose Bhanji (pictured), from the Assembly’s commission was last evening halted due to lack of quorum minutes before members could cast their votes.The Assembly had shelved the first business on the order paper to debate a motion that sought to review the rules of procedure that had been interrupted in March to prioritise Bhanji’s suspension.But just as members were readying themselves to vote by way of secret...

 

10 years ago

Vijimambo

Shy Rose Bhanji ajitolea kukarabati barabara ya mbweni

Barabara ya Mbweni-Malindi inavyonekana baada ya kuanza kufanyiwa ukarabati.Mbunge wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa barabara yao leo.Mbunge wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akielekeza jambo kwa mkandarasi.LUKAZA:BLOG

 

11 years ago

Dewji Blog

Shy Rose Bhanji asherehekea siku yake ya kuzaliwa

Untitled 1

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam. (Photos by: MD Digital Company +255 755 373999).

Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki…

Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utovu wa nidhamu wamweka pabaya Shy-Rose Bhanji

WIKI mbili zilizopita  kulikuwa na mvutano mkubwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ambao ulikwamisha shughuli za Bunge hilo kutokana na baadhi ya wabunge kugomea, wakitaka kwanza mbunge kutoka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shy Rose Bhanji ajitolea kuchonga barabara ya Mbweni — Malindi

IMG-20150205-WA0092

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa barabara yao jana.

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akielekeza jambo kwa mkandarasi.

Barabara ya Mbweni-Malindi inavyonekana baada ya kuanza kufanyiwa ukarabati.

 

11 years ago

Michuzi

MHE. SHY ROSE BHANJI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mbweni Dar es Salaam.   Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki...  Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Ester Bulaya (kushoto) na Mhe. Halima Mdee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani