SHY-ROSE BHANJI ALONGA NA WANAHABARI DAR LEO

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari hii leo. Kulia ni Mbunge mwenzake wa EALA kutoka Tanzania, Twaha Isa Tasilima.
Shy-Rose Bhanji akionesha moja ya picha za makamishna waliodai kujiuzulu nyadhifa zao lakini bado walikuwa wakiongoza kamati zao. Picha kwa hisani ya Father KidevuTaarifa Kutoka Kwa Mbunge Wa Bunge La Afrika La Afrika Mashariki
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 May
Leo Mei 3 ni siku ya kuzaliwa mdau Mh.Shy rose Bhanji, hongera sana
Mh. Shy rose Bhanji ambaye leo Mei 3, ametimiza miaka kadhaa. Happy Birthday Shy rose.
Na Andrew Chale, Modewji blog
Leo ni siku muhimu kwa mdau mkubwa wa Mo blog, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shy Rose Bhanji ambaye ametimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2015.
Mtandao huu wa Modewji blog unamtakia kila lakheri katika haarakaati zake mbalimbali za ujenzi wa Taifa na Dunia kwa ujumla. Hongera sana ‘Happy Birthday’ ‘Happy Birthday Shy rose.
My birthday wish...
10 years ago
Michuzi10 Nov
Shy-Rose Bhanji Akutana na Waandishi wa Habari Jijini Dar kufafanua Uzushi Unaoenezwa Kuhusu Yeye
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kufafanua uzushi unaoenezwa na baadhi ya wabunge wa bunge hilo kuhusu yeye, na baadhi yao wakisusia kushiriki vikao vya bunge hilo kushinikiza aondoshwe kwenye kamati ya uongozi kitu ambacho amekipinga akitaka wenye madai hayo wawasilishe kwanza madai yao yajadiliwe na yeye ajitetee. mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mbunge wa Bunge hilo Twaha...
10 years ago
GPLSHY-ROSE BHANJI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR KUFAFANUA UZUSHI UNAOENEZWA KUHUSU YEYE
11 years ago
Michuzi
Bid to expel Shy Rose Bhanji from EALA flop

10 years ago
Vijimambo
Shy Rose Bhanji ajitolea kukarabati barabara ya mbweni



11 years ago
Dewji Blog05 May
Shy Rose Bhanji asherehekea siku yake ya kuzaliwa

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam. (Photos by: MD Digital Company +255 755 373999).

Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki…

Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester...
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Utovu wa nidhamu wamweka pabaya Shy-Rose Bhanji
WIKI mbili zilizopita kulikuwa na mvutano mkubwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ambao ulikwamisha shughuli za Bunge hilo kutokana na baadhi ya wabunge kugomea, wakitaka kwanza mbunge kutoka...
11 years ago
Michuzi
MHE. SHY ROSE BHANJI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA



10 years ago
Dewji Blog06 Feb
Shy Rose Bhanji ajitolea kuchonga barabara ya Mbweni — Malindi
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa barabara yao jana.

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akielekeza jambo kwa mkandarasi.

Barabara ya Mbweni-Malindi inavyonekana baada ya kuanza kufanyiwa ukarabati.