Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siasa za udugu, urafiki zinavyoshika kasi nchini

>Uongozi ni hali ya kushawishi kundi kutekeleza malengo fulani waliyojiwekea. Kuna aina nyingi za uongozi kulingana na jinsi wanavyopatikana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DOVUTWA: HAKUNA URAFIKI KATIKA VYAMA VYA SIASA ASEMA KINACHOWAZUIA NI RUZUKU

Makala: Elvan Stambuli
MWENYEKITI wa United Peoples Democratic Party (UPDP),  Fahmi Nassor Dovutwa amesema hakuna urafiki katika vyama vya siasa kwa kuwa kila chama kinataka kwenda ikulu kukalia kiti. Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge…

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi nchini lapiga marufuku maandamano ya vyama vya Siasa nchini.

Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku ombi la maandamano la baadhi ya vyama vya siasa nchini baada ya uchunguzi wake kubaini kuwepo na mihemko ya kisiasa ndani ya jamii inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Kutokana na hali hiyo, jeshi hilo linasema litaendelea kushikilia msimamo wake wa awali wa kuzuia mikutano na maandamano yeyote mpaka hali itakapotengemaa.

Kauli ya Jeshi imefatia baada ya baadhi ya vyama vya siasa kuwasilisha kuwasilisha ombi la kufanya mikutano ya hadhara na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mjerumani avunja udugu Toto, Yanga

Licha ya kuisifu Yanga kama moja ya timu kubwa na bora nchini, kocha mkuu wa Toto Africans ya Mwanza, Martin Glerics amesema hatambui kama kuna undugu kati ya timu hizo na atahakikisha anaifunga kila atakapokutana nayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Udugu kando, vita Yanga, KMKM

Afe kipa, afe beki, ushindi lazima upatikane leo. Ndivyo pengine inavyosema Yanga inapoikabili KMKM ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ikihitaji ushindi kwa hali yoyote ili kucheza robo fainali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ushoga washika kasi nchini

WAKATI Uganda imepitisha sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia moja, hapa nchini hali ni mbaya zaidi kutokana na kuwepo kwa asilimia kubwa ya watu wanaojihusisha na ushoga. Kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Koo za Kimasai Ngorongoro zina udugu na wanyama?

Arusha. Licha ya umaarufu wake, Hifadhi ya Taifa Ngorongoro iliyopo mkoani Arusha ina mambo mengi ya kuvutia yanayoifanya muda wote kuwa ya kipekee duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

Kasi hii ya ujangili nchini idhibitiwe

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari zilizopo kando kado ya hifadhi na mapori ya akiba Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wameacha masomo na kushiriki ujangili wa wanyamapori kwa ajili ya kujipatia kipato.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano yashika kasi nchini Venezuela

Maelfu ya wapinzani wafanya maandamano mjini Caracas kuipinga Serikali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola inaenea kwa kasi nchini Liberia

Ugonjwa wa Ebola unaenea kwa kasi nchini Liberia huku maelfu ya watu wakiambukizwa upya na idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani