Siasa za vyama ziendeshwe kwa mujibu wa sheria
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekaririwa na vyombo vya habari na mitandao ya kijamii akisema kwamba wanasiasa walioshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, hawaruhusiwi kuitisha mikutano ya hadhara kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuwa wanaweza kuvuruga shughuli za maendeleo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lu7fZBLnWM0/VdzP08A2dNI/AAAAAAAHz_0/jiVDwEF4Sd4/s72-c/tume1.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jTyBDNq288o/VdyZTkaAo6I/AAAAAAAHz8I/J8nnsC97AtE/s72-c/00221917e13e0e8cb0b11c.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KWA MUJIBU WA SHERIA NDOA HIZI HAZIRUHUSIWI
![](http://3.bp.blogspot.com/-jTyBDNq288o/VdyZTkaAo6I/AAAAAAAHz8I/J8nnsC97AtE/s400/00221917e13e0e8cb0b11c.jpg)
Hapa kwetu Tanzania tunazo ndoa za aina kuu mbili. Kwanza tunazo ndoa za kiraia au kiserikali, na pili tunazo ndoa za kimila.
Ndoa za kiraia au za kiserikali kama zinavyojulikana kwa wengi ni zile ambazo hufungwa chini ya usimamizi wa mamlaka za serikali kama ofisi ya mkuu wa wilaya n.k. Na kwa upande wa ndoa za kimila hizi ni zile ambazo hufungwa kutokana na taratibu za watu wa kabila au koo fulani kwa mujibu...
9 years ago
Habarileo08 Sep
Vyama vya siasa vyatakiwa kutii sheria za nchi
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, amevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu, kuheshimu na kutii sheria za nchi hasa sheria ya usajili wa vyama na gharama za uchaguzi.
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria II
WIKI iliyopita tuliishia sehemu inayoeleza mahakama itatumia vigezo gani katika kuthibisha kuwa ni mzazi wa mtoto husika. Sasa endelea… JAMBO la kwanza kama kuna ndoa yoyote ilifanyika kulingana na Sheria...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria
KIHISTORIA, Tanzania ilikuwa ni nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya utafiti juu ya hali ya haki na ustawi wa mtoto mnamo mwaka 1988. Hii ilikuwa ni mwaka...
10 years ago
Habarileo07 Sep
Makutupora JKT yaivisha 1, 555 kwa mujibu wa sheria
VIJANA wanaohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi wametakiwa kutorubuniwa na makundi yanayotaka kuwagawa Watanzania.
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Msajili avinyoshea kidole vyama vya siasa, ataka viheshimu Sheria ya Uchaguzi
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU