Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sikiliza Kipindi cha leo ‘kutoka soko la habari Kariakoo’

mjengwablog

 

http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/10551-sikiliza-kipindi-cha-soko-la-habari-kariakoo.html#.U0ZENvmSzFV

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Dewji Blog

Sikiliza Live kutoka soko la habari Kariakoo…!

mjengwablog

Leo Jumatatu, Aprili 7, Redio yako ya Kijamii ya KwanzaJamii imeandika historia kwa kuwa redio ya kwanza hapa nchini kuwaletea wasikilizaji dondoo za habari za magazetini kutokea kwenye soko lenyewe la habari, ni  pale kona ya Uhuru na Msimbazi, Kariakoo.

Ni kipindi cha kila siku kuanzia saa kumi na moja na nusu alfajiri. Mwandishi/ Mtangazaji wa KwanzaJamii atakuwa sokoni hapo na kuungana moja kwa moja na studio za Kwanzajamii radio Iringa.

Sambamba na redio, habari hizo na picha za...

 

11 years ago

Michuzi

SIKILIZA KWANZAJAMII RADION LIVE KUTOKA SOKO LA HABARI KARIAKOO...!

Leo Jumatatu, Aprili 7, Redio yako ya Kijamii ya KwanzaJamii imeandika historia kwa kuwa redio ya kwanza hapa nchini kuwaletea wasikilizaji dondoo za habari za magazetini kutokea kwenye soko lenyewe la habari, ni  pale kona ya Uhuru na Msimbazi, Kariakoo. Ni kipindi cha kila siku kuanzia saa kumi na moja na nusu alfajiri. Mwandishi/ Mtangazaji wa KwanzaJamii atakuwa sokoni hapo na kuungana moja kwa moja na studio za Kwanzajamii radio Iringa. Sambamba na redio, habari hizo na picha za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kurushwa Mjengwa Blog

KIPINDI cha ‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kimezindulia na mtandao wa kijamii wa  Mjengwa Blog ambacho kitakuwa kikirushwa na Redio Kwanza Jamii. Akizungumza na Tanzania Daima Dar es Salaam jana Mkurugenzi...

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Belle 9

11899652_1643124802633842_393297353_nKwenye kipindi cha Chill na Sky wiki hii, Fredrick ‘Skywalker’ Bundala, amechill na muimbaji wa R&B, Belle 9 kuzungumza mambo kibao. Sikiliza kipindi hicho hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

Sikiliza marudio ya kipindi cha MISHUMAA YA KALE (Jan 23, 2015)

Hiki ni kipindi cha Ijumaa, January 23, 2015
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kinakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani