Sikiliza wimbo mpya wa TOP 20 ya Kinondoni Talent Search 2015 -“Kipaji Chako Ajira Yako”
Habari ndugu;
Ninamatumaini makubwa kuwa umzima wa afya na unaendelea vyema katika shughuli zako za kila siku.natambua na kuheshimu mchango wako ikiwa ni moja ya miongoni mwa jitihada katika kuhakikisha taifa letu linakwamuka kiuchumi na kujiletea maendeleo kupitia nafasi yako ya kazi.
Leo ninaomba nikushirikishe wimbo huu mpya ambao umefanywa na vijana 20 ambao wameingia katika hatua nyingine ya juu zaidi baada ya kuchujwa kutika kundi la vijana zaidi ya 17510 waliojitokeza katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jul
FALSAFA MBADALA: Kipaji chako ni ajira namba moja
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZINDUA MPANGO WA KUWAINUA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SANAA UJULIKANAO KINONDONI TALENT SEARCH
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/VgEW3M076UI/default.jpg)
10 years ago
GPLMAKONDA AZINDUA KINONDONI TALENT SEARCH
10 years ago
CloudsFM01 Apr
Paul Makonda kusaka vipaji kupitia Kinondoni Talent Search
Akizungumza na waandishi wa leo alisema; “Kinondoni Talent Search ni mpango wenye lengo kuu la kuwatambua vijana waishio kwenye wilaya ya Kinondoni wenye vipaji vya kuimba, Kuchekesha ambao wengi wao wapo katika mazingira magumu ya kiuchumi jambo linalowafanya...
10 years ago
GPL29 Apr
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Unawezaje kutambua kipaji chako?-1
10 years ago
GPL10 Sep
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Download na sikiliza wimbo mpya “NAIYE by Wiista”
Wiista anaefahamika zaidi kama member wa tatu wa kundi la Navy Kenzo (Wazee wa Bokodo Chelewa, Chelewa) has officially went solo under new Management of Ngoma Entertainment. leo ameachia rasmi ngoma yake mpya iitwayo NAIYE, and it’s catching waves like crazy.
Be part of the movement, Play, Listen, Be Relevant
Artist: Wiista
Song: NAIYE
Producer: El Da Bway
Management: Ngoma Entertainment