Siku Nane zatolewa kuhakiki taarifa kituo cha kupigia kura
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, akizungumza na wahariri vyombo vya habari Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Julius Mallaba.
Na Anitha Jonas-Maelezo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yawaasa wapiga kura kote nchini kuhakiki taarifa zao katika vituo vya vya kupiga kura siku nane kabla ya uchaguzi.
Hayo yamesema jana Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva alipokuwa akizungumza katika mkutano na viongozi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi08 Aug
TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
07/08/201511/08/20152Pwani na...
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi10 Aug
KITUO CHA REDIO 5 CHANYAKUA UBINGWA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA KASKAZINI



10 years ago
Michuzi06 Aug
KITUO CHA REDIO 5 NDANI YA NANE NANE ARUSHA


10 years ago
Michuzi22 Oct
TAARIFA KUHUSU WALIOPOTEZA KADI ZAO ZA KUPIGIA KURA

OFISI Usambazaji na Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Eliud Njaila akiwaonyesha waandishi wa habari vizimba vya kupigia kura siku ya uchaguzi. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.
Akizungumza katika mkutano wa vyama vya siasa na NEC mjini Dodoma leo, Ofisa Mwandamizi wa tume hiyo William Kitebi, amesema watu hao hawataruhusiwa hata kama majina na...
5 years ago
CCM BlogWAPIGA KURA KUHAKIKI BURE TAARIFA ZAO KWA KUTUMIA SIMU,TOVUTI
Na Richard Mwaikenda
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeanisha njia tatu za Mpiga Kura kumwezesha kuhakiki kirahisi taarifa zake katika Daftari la...
5 years ago
CCM Blog
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo25 Apr
Kifo Cha Msanii AK47 Taarifa Mpya Za Kushtusha Zatolewa

Ujumbe ulikuwa ukitaka Maggie amuonye mume wake AK47 aache kumfuatilia girlfriend wake anayeishi nchini Uganda anayejulikana kama Vivian Bahati.Taarifa za Redpepper Uganda, Polisi wanaendelea kuchunguza taarifa hizo mpya, kuna Mganda ambae anaishi nchi za Scandinavia ambae anadhaniwa alikodi kikundi cha watu ambao walisababisha kifo cha AK47 kutokana na mwanamke huyo.Polis walimpigia Maggie mke wa marehemu AK47 afike katika kituo cha Polisi cha Kabalagala kwa ajili ya kupata upande...