Siku ya hukumu
Pamoja na maneno mengi yaliyosemwa, shutuma lukuki zilizotolewa na mbinu za kila aina kutaka kuzuia mjadala wa ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL, leo ndiyo siku yake ya hukumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Siku ya pili:Hukumu ya Pistorius
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Hukumu ya Pistorius yaingia siku ya Nne
10 years ago
Dewji Blog01 Apr
Siku Ya Wajinga (April Fool) Na Hukumu Yake Kishari’ah
Habari wasomaji wa mtandao huu wa Modewji blog, munaoendelea kuperuzi, Leo ni Aprili Mosi, ambapo kila mwezi wa nne tarehe moja kama ya leo Duniani kote watu mbalimbali huifaanya siku hii kama ni ya kutaniana na kufanya jambo la mzaha ama ujinga ambalo ufanywa kuanzia tarehe inapoanza hadi saa nne asubuhi.
Hata hivyo siku hii ya wajinga kwa kipindi hiki imezidi kuwa na nguvu hasa baada ya kuongezeka mitandao ya kijamii ambayo watu mbalimbali wanaooitumia kutumia wasaha wa kuposti...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Hukumu Chalinze
TAMBO, mbwembwe na kejeli zilizokuwa zikitolewa kwenye mikutano ya kampeni za kuwania ubunge wa Chalinze leo zinatarajia kufikia kikomo wakati wakazi wa jimbo hilo watakapopiga kura Wagombea watano kutoka vyama...