SIKU YA VIJANA DUNIANI KUFANYIKA AGOSTI 24, 2014
WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADU
NI NA MICHEZO DKT FENELLA MUKANGARASiku ya Vijana Duniani itafanyika tarehe 12 Agosti, 2014 ikiwa na lengo la kuyafanya masuala mbalimbali ya vijana kutambulika katika jamii ya Kimataifa. Mwaka huu, ujumbe ni “Vijana na Afya Kiakili”. Tarehe hii iliamuliwa kuwa Siku ya Vijana Duniani na Umoja wa Mataifa mwaka 1999. Hii ni Siku maalum inayodhihirisha kutambua kazi muhimu zinazofanywa na vijana na umuhimu wake katika jamii pamoja na kuwapa fursa kwa ajili ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Mar
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
11 years ago
Michuzi09 May
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fGP51eCG6_4/U4l5rxK4diI/AAAAAAAFmtU/9RCXjLJ7pbo/s72-c/Mkuu+wa+mkoa+wa+Mwanza+2.jpg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-fGP51eCG6_4/U4l5rxK4diI/AAAAAAAFmtU/9RCXjLJ7pbo/s1600/Mkuu+wa+mkoa+wa+Mwanza+2.jpg)
Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzepA0Xrp1npx820Z71lTD7d0AYZrGTaBSHzaaOa8Ybu0F8uEwpnslHPdxr0oAeFw6PBGrW*fW-G5fWYkT1sIs02/miss.jpg?width=650)
FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22
11 years ago
Michuzi12 Aug
MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA KUFANYIKA AGOSTI 30, 2014.
![](https://2.bp.blogspot.com/-Fquj7L3s4Xc/U-i_AC-3awI/AAAAAAAC6OM/noGwqWFXCuQ/s1600/ccmuk.jpg)
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI INAYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU...
10 years ago
VijimamboKONGAMANO LA VIJANA MKOANI MBEYA WAKATI WA KUAZIMISHA SIKU YA VIJANA DUNIANI
Mgeni Rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya.
9 years ago
Dewji Blog14 Aug
Kongamano la Vijana mkoani Mbeya wakati wa kuadhimisha siku ya vijana duniani
Mgeni rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya.
Vijana wakisikiliza kwa makini watoa mada kaika sherehe hiyo iliyofanyika ukumbi wa Mzumbe Mbeya.
Mratibu wa Mradi wa Restless Fadhiri Mtanga akitoa mada kuhusu Maendeleo ya Vijana.
Wakili Stephen John akiwashauri vijana kuto tumika na wanasiasa.
Muwezeshaji wa Sherehe hiyo ya...
11 years ago
Bongo512 Aug
Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza