Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA SC YATOA TAMKO

Michael Richard Wambura. Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC imesema uchaguzi wa klabu hiyo utaendelea kama ulivyopangwa kufanyika Juni 29 mwaka huu. Kamati hiyo pia imesema imemuondoa Michael Richard Wambura kwenye mchakato wa kugombea uchaguzi…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ikulu yatoa tamko kuhusu Muhongo

 Ikulu imewataka Watanzania kuacha kulichukulia suala la kujiuzulu kwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kama jambo la ‘kufa na kupona’, huku ikieleza kuwa waziri 0huyo mpaka sasa bado ni kiongozi wa Serikali.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya yatoa tamko kuhusu Kipindupindu

picha 1 (1)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Kushoto) akitoa tamko juu ya ugojwa wa kipindupindu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam kulia ni Naibu waziri wa Wizara hiyo Dkt Hamisi Kigwangalla.

picha 9 (3)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Katikati) akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika kambi ya kipindupindu iliyopo Mburahati Jijini Dare s salaam.

picha no 7

Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MISAADA ILIYOKATALIWA

Na Magreth Kinabo –Maelezo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema misaada inayotolewa na watu mbalimbali kwa ajili ya kusaidia jamii ni lazima iwe imekidhi viwango vya ubora, hivyo haitakiwi kuangaliwa kwa vigezo vya dini, itikadi wala siasa.  Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake baada kituo kimojwapo nchini kukataa misaada iliyotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini...

 

5 years ago

Global Publishers

Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC

w1

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

w2

Wanahabari wakifuatilia tamko hilo.
1 2

 

 

11 years ago

Dewji Blog

TEC yatoa tamko kuhusu Bunge Maalumu la Katiba

6

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Tarcisius Ngalalekumtwa.

Na Mwandishi wetu

Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania limetoa tamko la kuwataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba(BMK) kuwatendea haki watanzania kwa kujadili maoni ya katiba yaliyowasilishwa na tume iliyoundwa ya kukusanya maoni na kuacha kuacha ubinafsi uwe wa mtu mmoja au wa vikundi kwa ajili ya kuunda katiba bora kwa watanzania.

Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Rais wa...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YATOA TAMKO JUU YA USAMBAZAJI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari Elimu na Mawasiliano katika Wizara ya Katiba na Sheria, Farida Khalfan, akitoa tamko. Afisa Habari wa Wizara ya Katiba na Sheria ,Martha Komba (katikati), akionyesha muundo wa katiba inayopendekezwa.  Kulia ni Ofisa Habari wa Wizara ya Katiba na Sheria, Said Benjamin. Khalfan na Komba wakiandika maswali…

 

9 years ago

StarTV

CCM Kilimanjaro yatoa tamko juu ya mwenendo wa uchaguzi

Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro umeiomba  serikali kuweka sheria madhubuti zinazolenga kuthibiti wasimamizi wa uchaguzi ambao wanakiuka sheria na kanuni za Tume ya taifa ya uchaguzi NEC kwa kusababisha vurugu katika zoezi  la uhesabuji wa kura.

Kauli hiyo inakuja kufuatia kuwepo kwa malalamiko mengi ya wagombea wa kiti cha  ubunge na udiwani  katika baadhi ya majimbo mkoani humo kulalamikia  zoezi la uchaguzi kutokuwa  huru na...

 

9 years ago

GPL

BASATA YATOA TAMKO KUHUSU NYIMBO ZISIZOZINGATIA MAADILI

BASATA LATAKA KUONDOLEWA/KUSITISHWA MARA MOJA KUCHEZWA KWA NYIMBO ZOTE ZENYE KUKENGEUKA MAADILI, SHERIA NA TARATIBU Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au kucheza nyimbo zote zenye maudhui ya kashfa, matusi, kejeli, udhalilishaji ambazo zinahatarisha kuigawa jamii ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani