Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA WAFANYA MKUTANO, YAWAFUKUZA WANACHAMA 72 WALIOFUNGUA KESI MAHAKAMANI

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akifafanua jambo wakati wa mkutano maalum wa wananchama wa klabu hiyo uliofanyika kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya wanachama wa Simba wakiwa katika mkutano maalum wa klabu hiyo jijini Dar es Salaam Baadhi ya wanachama wa Simba wakihakiki kadi zao kabla ya kuingia katika ukumbi wa mkutano. Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali akipitia nyaraka za klabu hiyo wakati akiingia katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Hans Pope: Simba Ukawa futeni kesi mahakamani!





MWENYEKITI wa kamati ya usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope amewataka Simba ukawa kufuta kesi iliyopo mahakamani ili wawarejeshee uwanachama wao. Pope alisema leo  kuwa hawana ugomvi na Ukawa, na kwamba uongozi uliopo madarakani upo tayari kuwarudisha Ukawa na kuwa kitu kimoja kwa maslahi ya kuijenga Simba. "Ukawa ni matawi mawili ya Mpira Pesa na Mpira maendeleo, nimeshakutana na mpira pesa nikazungumza nao, nimewashauri wawasiliane na wenzao wakafute kesi ili tuungane na tuwe kitu kimoja...

 

10 years ago

Vijimambo

Wanachama wa Vikoba Wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kongamano la Wanachama wa Vikoba Arusha.

Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF)wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfukohuo.Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli"Wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF).Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni "Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli".(Picha na...

 

11 years ago

Mwananchi

Liyumba ana kesi ya kujibu mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu ndani ya Gereza la Ukonga ana kesi ya kujibu.

 

11 years ago

CloudsFM

KESI YA MBASHA YASOMWA TENA LEO MAHAKAMANI

Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji. Katika kesi hiyo inayoendeshwa na Hakimu Wilbert Luago,amelazimika kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa kufika kutokana na matatizo ya usafiri.
Kauli hiyo ya Mbasha ilimfanya Hakimu Luago kuhoji kama kweli alikuwa na nia ya...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yapigwa mweleka mahakamani kesi ya uchaguzi

Kiteto.Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, kimepata pigo baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kiteto, kutengua matokeo ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Lobosireti kwa kukiuka sheria na utaratibu wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba, mwaka jana.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi za ardhi mahakamani zamkera Prof. Tibaijuka

Profesa Anna TibaijukaMLUNDIKANO wa kesi katika mahakama, mivutano ya ardhi baina ya viongozi na watendaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani hapa, vimesababisha kusimama na kuchelewesha kupimwa mji wa Lindi.

 

10 years ago

Michuzi

KESI WAFUASI WA CHADEMA KUVAMIA POLISI YASOMWA LEO MAHAKAMANI

UPANDE wa Jamhuri katika kesi inayowakabili wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umedai mahakamani kwamba washtakiwa hao walikiuka amri halali ya Jeshi la Polisi baada ya kuvuka kizuizi kilichowekwa eneo la Makao Makuu ya  jeshi hilo.
Kadhalika, washtakiwa hao Ngaiza Kamugisha (28)  dereva, mkazi wa Vingunguti, Benito Mwapinga (30) Fundi nguo mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally na Eliasante Bugeji (51) Mhasibu wa CCBRT mkazi wa Komakoma Kinondoni, Dar es Salaam, wanadaiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani