SIMIYU: WATU 34 WARUHUSIWA WALIOKUWA KATIKA UANGALIZI WA VIRUSI VYA CORONA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Bariadi Mjini, Aprili 18, 2020 ambapo ameshiriki katika ibada ambayo waumini hao wameitikia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kwa Watanzania wote kuingia katika maombi ya siku tatu ( Aprili 17-19, 2020) kuliombea Taifa ili Mungu aliponye na janga la Corona Baadhi ya Wazee wa Kanisa wa Kanisa la SDA Bariadi mjini wakiwaongoza...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
WATU 30 WARUHUSIWA MKOA WA SIMIYU WALIOKUWA KATIKA KARANTINI

Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Aprili 18, wakati akiongea na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Bariadi kwenye ibada ambayo iliambatana na maombi maalumu ya kuliombea taifa kuepuka na janga la corona.
Mtaka amesema watu hao...
5 years ago
BBCSwahili30 May
Virusi vya corona: Watu 143 wameambukizwa virusi vya corona Kenya
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Nchi gani zinafanya vizuri katika kupima watu?
5 years ago
Michuzi
WATU 34 WARUHUSIWA KUTOKA KARANTINI MKOANI SIMIYU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Bariadi Mjini, Aprili 18, 2020 ambapo ameshiriki katika ibada ambayo waumini hao wameitikia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kwa Watanzania wote kuingia katika maombi ya siku tatu ( Aprili 17-19, 2020) kuliombea Taifa ili Mungu aliponye na janga la Corona.

Baadhi ya Wazee wa Kanisa wa Kanisa la SDA Bariadi mjini wakiwaongoza...
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Je ni kwanini Idadi ya watu walioambukizwa virusi Uganda inapunguzwa?
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Virusi vya corona: Watu 260wathibitishwa kuwa na virusi ndani ya saa 24 nchini Kenya
5 years ago
BBCSwahili01 Jun
Virusi vya corona: Watu 'wasiojua wana virusi’ wanavyochangia kuongezeka kwa maambukizi
5 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA LIQUID TELECOM YAJA NA MAJIBU YA WATU KUENDELEA NA SHUGHULI ZA UZALISHAJI LICHA YA KUWEPO KWA VIRUSI VYA CORONA KATIKA BARA LA AFRIKA
Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Liquid Telecom Nic Rudnick amesema kwamba katika kipindi hiki ambacho Dunia inakabiliwa na virusi vya COVID-19 ( Coronavirus) na kusabababisha shughuli nyingi za kiuchumi kusimama katika nchi mbalimbali wao kipaumbele cha cha kampuni hiyo kwa sasa ni kusaidia na kulinda afya, ustawi na usalama wa wafanyikazi, wateja, washirika na umma mkakati wa kudumisha mwendelezo wa biashara katika viwango vyote.
Amesisitiza katika...
5 years ago
BBCSwahili28 May
Virusi vya corona: Watu 147 zaidi waambukizwa corona Kenya