Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simon Mzungu na kiu ya kuchekesha na watoto

BAADA ya kutamba katika fani ya uigizaji kwa muda mrefu hatimaye mwigizaji, mwimbaji na mshereheshaji maarufu nchini, Simon Mbwana Mwakatobe ‘MC Simon Mzungu’ ametangaza kuwa katika maandalizi ya kutoka na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASWIRA YA MWAKA YA WADAU WA KUCHEKESHA NA KUHABARISHA

Si mara nyingi wadau hawa hukutana namna hii. Ila wakati wa mnuso wa kumuaga bosi wa taasisi ya Twaweza Rakesh Rajani jana jioni pale viwanja vya Karimjee ilikuwa tofauti. hapo mpiga picha aliambiwa apige full yaani viatu vionekane. Wao kwa pamoja tena bila kuambiwa na mtu wakainua miguu kumuonesha hivyo viatu. Kutoka kushoto ni Othman Michuzi, Masoud Kipanya, Nathan Mpangala "Kijasti", Evans Bukuku "Mnyambala", David Kyungu, Robert Mwampembwa "Bi Mkora", David Chikoko (Cartoonist wa the...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA NNE ZA KUCHEKESHA YANGA NA AZAM UWANJA WA TAIFA

By EDO KUMWEMBE (email the author) 
Lilikuwa bao muhimu. Dakika chache baada ya Didier Kavumbagu kuipatia Azam bao la kuongoza. Kwa wanaomfahamu Tambwe hawakushangazwa na bao lile.
KWA shabiki wa Simba kuna picha inayoudhi, kukera na kunyanyasa moyo kama ile ya juzi wakati Amiss Tambwe alipokuwa akishangilia bao lake la kwanza katika jezi ya Yanga, tena katika pambano dhidi ya Azam!Lilikuwa bao muhimu. Dakika chache baada ya Didier Kavumbagu kuipatia Azam bao la kuongoza. Kwa wanaomfahamu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tuzo za wanyama pori wenye kuchekesha kwa mwaka 2019

Picha zilizotunukiwa tuzo mwaka huu baada ya mashindano

 

9 years ago

MillardAyo

Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Azam imekata kiu

RAIS Jakaya Kikwete ameitaka timu ya Azam kufika kimataifa zaidi kwa kuchukua makombe kutoka katika michuano mikubwa barani Afrika.

 

10 years ago

Daily News

Seven KIU cheats under probe


IPPmedia
Seven KIU cheats under probe
Daily News
THE independent committee initially appointed by the Pharmacy Council of Tanzania to review the pharmacy courses offered at Kampala International University's (KIU), Dar es Salaam campus has found out that some students pursuing the course at ...
How KIU students ended up in custody for riots.IPPmedia

all 2

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA timizeni kiu ya Watanzania

VYAMA vitatu vya siasa vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimeahidi kuzunguka nchi nzima kushawishi wananchi waikatae katiba mpya inayopendekezwa kwa sababu imepuuza maoni yao. UKAWA ambayo...

 

9 years ago

Mwananchi

Ilani ya Ukawa na kiu ya Watanzania

Agosti 29, vyama vinne vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi  (Ukawa), vilizindua kampeni zake.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: CPwaa — Kata Kiu

CPwaa anakuletea single yake mpya “Kata Kiu” imetaarishwa na Producer mkongwe P Funk Majani ndani ya Bongo Records

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani