Simona Halep aendeleza vipigo
Baada ya Simona Halep kumshushia kichapo cha seti 6-0 6-2 Serena Williams amezinduka na kumbamiza mcanada Eugenie Bouchard.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHILOLE AENDELEZA VIPIGO KWA NUH
Shani ramadhani/mchanganyiko
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki na filamu nchini, Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole, ameendeleza tabia yake ya kumpa vipigo vya mara kwa mara mpenzi wake, Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambaye pia ni msanii. Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki na filamu nchini, Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole akiwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. Habari kutoka vyanzo vya kuaminika...
5 years ago
Galus Australis12 Mar
Global PETG Market 2017-2026| EASTMAN, SK, Simona, LSB (Artenius), Liaoyang Petrochemical
Global PETG Market 2017-2026| EASTMAN, SK, Simona, LSB (Artenius), Liaoyang Petrochemical Galus Australis
10 years ago
GPL
JACK PATRICK AENDELEZA MITINDO GEREZANI CHINA
Imelda Mtema
Mwanamitindo wa Kibongo, Jacqueline Patrick ameendeleza fani yake ya mitindo akiwa gerezani huko Macau nchini China na kuwa kivutio kikubwa kwa wafungwa wenzake. Mwanamitindo wa Kibongo, Jacqueline Patrick. Chanzo chetu ambacho kinadili na masuala ya urembo na mitindo kilisema kuwa, licha ya Jack kuwa gerezani amekuwa akifuatilia mitindo mipya iliyoingia mjini kisha kuwafanyia wenzake. Chanzo hicho kilisema kazi...
11 years ago
GPL
VAN GAAL AENDELEZA FURAHA MAN UNITED
Shinji Kagawa (kushoto), Darren Fletcher (katikati) na Tom Cleverley (kulia), wakishangilia baada ya kuifunga Inter Milan kwa penalti 5 -3. Fletcher na David De Gea wakishangilia kwa pamoja.…
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AENDELEZA KAMPENI WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA



10 years ago
Vijimambo
LOWASSA AENDELEZA MAFURIKO SHINYANGA SASA AFIKISHA WADHAMINI 7,114

10 years ago
BBCSwahili07 Nov
Vipigo vyatawala:Ligi ya Europa
Michuano ya ligi ya Europa imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja kadhaa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo.
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Vinara La Liga waambulia vipigo
Timu vinara wa ligi kuu ya Hispania za Barcelona na Real Madrid zimeambulia vipigo katika mechi zao za mwishoni mwa wiki.
9 years ago
Habarileo04 Jan
Yanga ni vipigo mpaka Mapinduzi
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, jana walianza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mafunzo ya mjini hapa katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania