Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga ni vipigo mpaka Mapinduzi

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, jana walianza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mafunzo ya mjini hapa katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

YANGA NOMA, YAENDELEZA VIPIGO KWENYE UWANJA WA TAIFA


Mchezaji wa Yanga Muyu Twite akishangilia goli lake mara baada ya kuifungia Yanga goli la kwanza kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga imeendeleza wimbi la ushindi katika kuhakikisha inalitetea vyema taji lake baada ya leo kutoa kipigo kingine cha goli 3-0 mbele ya Tanzania Prisons ‘wajelajela’ kutoka jijini Mbeya kwenye mtanange uliomalizika jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa.
Yanga walianza kupata goli la kwanza kipindi cha kwanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga hiyoo mpaka Fifa

 Uongozi wa Yanga umepanga kuliandikia Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) kuishtaki TFF kwa kukiuka Kanuni ya 19 ya usajili katika kufanya uamuzi wa utata wa usajili wa mshambuliaji wa Uganda, Emmanuel Okwi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga! Kwa nini mpaka Simba ianze?

NI Jumatatu nyingine tulivu kabisa ya mwezi Juni, ulio katikati ya mwaka, mwezi unaoelemewa na baridi karibu sehemu kubwa ya nchi yetu. Ni kati ya miezi ambayo michuano ya Kombe...

 

11 years ago

GPL

YANGA KUTOSHIRIKI MAPINDUZI

Kikosi cha Young Africans Sports Club. Uongozi wa klabu ya Young Africans umewasilisha barua rasmi kwa ZFA kutoshiriki mashindano ya kombe la Mapinduzi  yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho  Januari Mosi 2014 Visiwani Zanzibar katika miji ya Unguja na Pemba kutokana na kuamua kulivunja Benchi nzima la Ufundi. Kufuatia kupewa taarifa (notice) kwa kocha msaidzi Fred Felix "Minziro" kocha wa makipa Razaki Siwa na daktari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaaga kombe la Mapinduzi

Yanga imeng'oka katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na JKU.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam kundi moja Mapinduzi

ratibaHUSSEIN OMAR NA KOMBO ALI, ZANZIBAR

KLABU za Yanga na Azam zimepangwa kundi moja kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi visiwani Zanzibar, Januari 2, mwakani katika Uwanja wa Amaan.

Kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa jana, Yanga na Azam wako Kundi B la michuano hiyo pamoja na timu za Mafunzo na Mtibwa Sugar ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wakati Kundi A, lina timu za Simba, URA ya Uganda, JKU ya Unguja na Jamhuri ya Pemba kundi ambalo linaonekana kuwa dhaifu...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga kunoa makali Kombe la Mapinduzi

Kikosi-Yanga NA ZAINAB IDDY,  DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga tayari imewasili Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza kesho huku wakitamba kutwaa ubingwa na kusaka makali kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Katika mashindano ya Mapinduzi, Yanga imepangwa kundi B ikiwa na Azam, Mtibwa Sugar na Mafunzo ya Zanzibar ambapo inatarajia kufungua dimba kesho kwa kuvaana na Mafunzo.

Kikosi hicho kinachonolewa na kocha Hans Vans Pluijm na msaidizi wake, Juma Mwambusi,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yang'ara Kombe la Mapinduzi

Timu ya Yanga ya Tanzania Bara imezidi kung'ara katika michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup

Yanga ilifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya Mapinduzi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani