Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga hiyoo mpaka Fifa

 Uongozi wa Yanga umepanga kuliandikia Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) kuishtaki TFF kwa kukiuka Kanuni ya 19 ya usajili katika kufanya uamuzi wa utata wa usajili wa mshambuliaji wa Uganda, Emmanuel Okwi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Azam FC hiyoo kwenye ubingwa

Kikosi cha Azam FC. Na Sweetbert Lukonge
UWEZEKANO wa Azam FC kuandika historia ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza upo karibu, hiyo ni baada ya kufanikiwa kuifunga Simba kwa mabao 2-1 na kuongoza msimamo wa ligi hiyo kwa tofauti ya pointi saba. Azam ambayo haijapoteza mechi yoyote msimu huu, imeonyesha kweli imejipanga baada ya kutoa kipigo hicho kwa Simba ambayo mwaka huu imekuwa ikipepesuka, hivyo...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga ni vipigo mpaka Mapinduzi

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, jana walianza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mafunzo ya mjini hapa katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga! Kwa nini mpaka Simba ianze?

NI Jumatatu nyingine tulivu kabisa ya mwezi Juni, ulio katikati ya mwaka, mwezi unaoelemewa na baridi karibu sehemu kubwa ya nchi yetu. Ni kati ya miezi ambayo michuano ya Kombe...

 

11 years ago

GPL

Fifa: Okwi rukusa Yanga

Na Waandishi Wetu
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limesema mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kujiunga na timu yoyote inayomhitaji. Baadhi ya viongozi wa Kamati ya Usajili wa Yanga, wakiongozana na Emmanuel Okwi mara baada ya kuwasiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambapo alipitia katika mlango wa watu maarufu 'VIP'. Okwi aliyekuwa mchezaji kipenzi cha Simba kabla kuuzwa Etoile du Sahel,...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga kumburuza Okwi FIFA

Emmanuel Okwi

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Okwi

NA ZAITUNI KIBWANA, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa timu ya Yanga unakusudia kuwasilisha malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kumuidhinisha Okwi kuichezea Simba.

Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Richard Shinamkutwa, ilikutana juzi kujadili usajili huo uliozua utata na kumuidhinisha Okwi kama mchezaji huru, akiwemo beki, Abdi Banda wa Coastal Union, aliyeidhinishwa pia...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkufunzi wa Fifa atajwa Yanga

Mkufunzi wa Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Henry Tandau ametajwa kuchukua nafasi ya katibu mkuu wa klabu ya Yanga iliyoachwa wazi na Benno Njovu.

 

11 years ago

GPL

FIFA: OKWI RUKSA YANGA

Emmanuel Anorld Okwi. KIUNGO nyota Mganda, Emmanuel Anorld Okwi, ni mchezaji halali wa Yanga.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuhusiana na habari hiyo njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa lile la kimataifa (Fifa). TFF ndiyo waliosimamisha usajili wa Okwi, saa chache kabla ya kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini jana wamethibitisha anaweza kuanza kuitumikia...

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga kuishtaki Mpumalanga Fifa

Klabu ya Yanga imeonyesha nia ya kutaka kuishtaki klabu ya Mpumalanga Black Aces ya Afrika Kusini kwa kukiuka makubaliano.

 

9 years ago

TheCitizen

Yanga report SA team to Fifa over fee

Mainland giants Young Africans have reported South Africa’s Mpumalanga Black Aces to the world soccer governing body (Fifa) over non-payment of striker Kpah Sherman’s transfer fee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani