Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kuishtaki Mpumalanga Fifa

Klabu ya Yanga imeonyesha nia ya kutaka kuishtaki klabu ya Mpumalanga Black Aces ya Afrika Kusini kwa kukiuka makubaliano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Meneja wa Kaseja kuishtaki Yanga

Kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
MENEJA wa kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja ambaye ni Abdulfatah Saleh ameibadilikia timu hiyo kwa kupanga kuishtaki, baada ya Katibu Mkuu wa Yanga, Benno Njovu, kutamka kwamba hawamtambui. Hiyo ni siku chache tangu meneja huyo kupanga kumuondoa Kaseja kwenye usajili wa dirisha dogo baada ya Yanga kukiuka makubaliano yaliyokuwemo kwenye mkataba.Yanga ilikiuka...

 

11 years ago

Mtanzania

Yanga kumburuza Okwi FIFA

Emmanuel Okwi

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Okwi

NA ZAITUNI KIBWANA, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa timu ya Yanga unakusudia kuwasilisha malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kumuidhinisha Okwi kuichezea Simba.

Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Richard Shinamkutwa, ilikutana juzi kujadili usajili huo uliozua utata na kumuidhinisha Okwi kama mchezaji huru, akiwemo beki, Abdi Banda wa Coastal Union, aliyeidhinishwa pia...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga hiyoo mpaka Fifa

 Uongozi wa Yanga umepanga kuliandikia Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) kuishtaki TFF kwa kukiuka Kanuni ya 19 ya usajili katika kufanya uamuzi wa utata wa usajili wa mshambuliaji wa Uganda, Emmanuel Okwi.

 

11 years ago

GPL

Fifa: Okwi rukusa Yanga

Na Waandishi Wetu
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limesema mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kujiunga na timu yoyote inayomhitaji. Baadhi ya viongozi wa Kamati ya Usajili wa Yanga, wakiongozana na Emmanuel Okwi mara baada ya kuwasiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambapo alipitia katika mlango wa watu maarufu 'VIP'. Okwi aliyekuwa mchezaji kipenzi cha Simba kabla kuuzwa Etoile du Sahel,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkufunzi wa Fifa atajwa Yanga

Mkufunzi wa Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Henry Tandau ametajwa kuchukua nafasi ya katibu mkuu wa klabu ya Yanga iliyoachwa wazi na Benno Njovu.

 

11 years ago

GPL

FIFA: OKWI RUKSA YANGA

Emmanuel Anorld Okwi. KIUNGO nyota Mganda, Emmanuel Anorld Okwi, ni mchezaji halali wa Yanga.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuhusiana na habari hiyo njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa lile la kimataifa (Fifa). TFF ndiyo waliosimamisha usajili wa Okwi, saa chache kabla ya kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini jana wamethibitisha anaweza kuanza kuitumikia...

 

9 years ago

TheCitizen

Yanga report SA team to Fifa over fee

Mainland giants Young Africans have reported South Africa’s Mpumalanga Black Aces to the world soccer governing body (Fifa) over non-payment of striker Kpah Sherman’s transfer fee.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaishitaki TFF kwa Fifa

Uongozi wa Yanga umesema leo utapeleka barua yake Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kuishtaki Kamati ya Utendaji ya TFF kwa kubadili kanuni za Ligi Kuu katikati ya msimu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ruksa Yanga SC kwenda Fifa — TFF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limebariki safari ya klabu ya Yanga kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kupeleka suala la mshambuliaji Emmanuel Okwi, ingawa wao kama wasimamizi wa soka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani