Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaishitaki TFF kwa Fifa

Uongozi wa Yanga umesema leo utapeleka barua yake Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kuishtaki Kamati ya Utendaji ya TFF kwa kubadili kanuni za Ligi Kuu katikati ya msimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Ruksa Yanga SC kwenda Fifa — TFF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limebariki safari ya klabu ya Yanga kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kupeleka suala la mshambuliaji Emmanuel Okwi, ingawa wao kama wasimamizi wa soka...

 

10 years ago

Michuzi

sakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Utawala Bora wa klabu ya Young Africans Wakili Sam Mapande - kulia
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...

 

9 years ago

Raia Mwema

Mahaba ya TFF kwa Yanga na hatma ya soka letu

MAFANIKIO ya Soka la Tanzania yanategemea sana nidhamu, juhudi na moyo wa dhati wa kujitoa kwa wa

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Habarileo

TFF kuichongea Algeria Fifa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa linafuatilia kwa kina madai yalitolewa na Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Boniface Mkwasa (pichani) kuhusu hujuma walizofanyiwa wakiwa nchini Algeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa kuipa fedha TFF

Fifa imeahidi kuipa fedha Shirikisho la soka Tanzania, TFF kwa ajili ya maandalizi ya kuwania kufuzu Kombe la dunia mwaka 2018

 

10 years ago

Mwananchi

Fifa yairudisha TFF Karume

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limekerwa na matumizi mabaya ya fedha ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kulitaka kurejesha ofisi zake kwenye Uwanja wa Karume.

 

10 years ago

Michuzi

FIFA KUBORESHA MAKAO MAKUU YA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) limeahidi kuboresha makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) yaliyoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala ili yawe katika kiwango cha kisasa ikiwa ni pamoja na kuwa na vitendea kazi na miundombinu ikiwa ni pamoja na upanuzi wa ofisi.
Hatua hiyo itaiwezesha TFF kuwa na mazingira bora ya kufanya shughuli zake kwa ufanisi.
Vilevile kupitia programu zake mbalimbali ikiwemo ile ya Goal, FIFA imeahidi kushirikiana na TFF...

 

10 years ago

Mwananchi

Fedha za Fifa kujenga maduka TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema mgawo wa fedha za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) utatumika kuendeleza soka pamoja na kujenga maduka na hoteli ndogo kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF kulamba Sh2.2 bil za Fifa

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepata nguvu kwani linatarajia kupokea kitita cha Dola1. 3 milioni (Sh2.2 bilioni) kutoka Shirikisho la Soka la Dunia (Fifa) pamoja na fedha za kuiandaa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwa ajili ya Kombe la Dunia 2018.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani