YANGA KUTOSHIRIKI MAPINDUZI
Kikosi cha Young Africans Sports Club. Uongozi wa klabu ya Young Africans umewasilisha barua rasmi kwa ZFA kutoshiriki mashindano ya kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho Januari Mosi 2014 Visiwani Zanzibar katika miji ya Unguja na Pemba kutokana na kuamua kulivunja Benchi nzima la Ufundi. Kufuatia kupewa taarifa (notice) kwa kocha msaidzi Fred Felix "Minziro" kocha wa makipa Razaki Siwa na daktari...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo04 Jan
Yanga ni vipigo mpaka Mapinduzi
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, jana walianza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mafunzo ya mjini hapa katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan.
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Yanga yaaga kombe la Mapinduzi
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Yanga, Azam kivumbi na jasho Mapinduzi
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga leo inatarajia kuvaana na Azam katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali na wakuvutia utakaochezwa Uwanja wa Amaan.
Mchezo huo unavuta hisia za wadau wengi kutokana na timu hizo kupishana pointi chache katika msimamo wa ligi Kuu Tanzania Bara, Azam ikiwa na pointi 35 kileleni ikifuatiwa na Yanga yenye pointi 33 katika nafasi ya pili.
Azam ambayo ipo kundi B pamoja na timu ya Mafunzo na Mtibwa Sugar,...
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Azam,Yanga sare Mapinduzi Cup.
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Yanga yang'ara Kombe la Mapinduzi
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Yanga kunoa makali Kombe la Mapinduzi
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga tayari imewasili Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza kesho huku wakitamba kutwaa ubingwa na kusaka makali kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika.
Katika mashindano ya Mapinduzi, Yanga imepangwa kundi B ikiwa na Azam, Mtibwa Sugar na Mafunzo ya Zanzibar ambapo inatarajia kufungua dimba kesho kwa kuvaana na Mafunzo.
Kikosi hicho kinachonolewa na kocha Hans Vans Pluijm na msaidizi wake, Juma Mwambusi,...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Yanga, Azam kamili kwa Mapinduzi
YANGA na Azam FC zinatarajia kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mpaka Januari 13 kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Yanga, Azam kundi moja Mapinduzi
HUSSEIN OMAR NA KOMBO ALI, ZANZIBAR
KLABU za Yanga na Azam zimepangwa kundi moja kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi visiwani Zanzibar, Januari 2, mwakani katika Uwanja wa Amaan.
Kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa jana, Yanga na Azam wako Kundi B la michuano hiyo pamoja na timu za Mafunzo na Mtibwa Sugar ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wakati Kundi A, lina timu za Simba, URA ya Uganda, JKU ya Unguja na Jamhuri ya Pemba kundi ambalo linaonekana kuwa dhaifu...