Simu kanisani? tafakari tena
Kasisi mmoja nchini Italia, ameweka kifaa kanisani mwake kinachoweza kubana mawasiliano ya simu baada ya kuchoka kuwaomba waumini kuzima simu zao kila wakati alipokuwa anahubiri.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Oct
Blackberry na Sony kusalimu amri? Huenda wakaacha kutengenza tena simu
Katika vita vikali vya smartphones, washindani wawili wamepanga kuweka silaha chini. Wenyeviti watendaji wa Sony na BlackBerry kwa nyakati tofauti wote wamekubali kuwa mwaka 2016 unaweza kuwa mwaka wa kuachana na biashara ya simu. Sony imedai kuwa itafikiria mbadala mwingine kama kitengo chake cha simu kitashindwa kuwapa faida, wakati BlackBerry ikidai haiwezi kusema kuwa itafunga […]
10 years ago
Vijimambo12 Aug
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-gzZzG3ibdbs/Ve1WP4kcEvI/AAAAAAADYB0/Tlwk9hUh5So/s72-c/kp07092015.jpg)
10 years ago
Vijimambo09 Apr
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Mungu hatafutwi mtandaoni, tafakari
Mtoto aliachwa pekee nyumbani. Jikoni alikuwa ameachiwa chakula cha kutosha, asusa, soda na juisi. Akajipa cheo cha baba mwenye nyumba, akawaalika watoto wenzie ili wafanye sherehe ndogo ya kumpongeza kwa kuukaimu u-baba.Â
9 years ago
Mwananchi12 Sep
Tafakari Mungu hatafutwi mtandaoni
Mtoto aliachwa pekee nyumbani. Jikoni alikuwa ameachiwa chakula cha kutosha, asusa, soda na juisi. Ghafla akajipa cheo cha baba mwenye nyumba. Akawaalika watoto wenzie ili wafanye sherehe ndogo ya kumpongeza kwa kuukaimu u-baba. Watoto nao waliposikia mwaliko huo hawakuwa na simile, dakika hiyohiyo walijaa sebuleni.
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Tunahitaji tafakari ya viongozi wakuu wastaafu
WAZEE wetu wastaafu ambao mlifanyakazi na Mwalimu Julius Nyerere tangu mwaka 1961 baada ya Uhuru
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi22 Jan
SAIKOLOJIA&UTAFITI: Waajiriwa wengi hufa maskini, tafakari ndugu
>Karibu ndugu yangu katika safu hii ambayo imekuwa ni msaada hasa kwa watu wenye ndoto za kubadilika katika maisha.
11 years ago
Dewji Blog28 May
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania