Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunahitaji tafakari ya viongozi wakuu wastaafu

WAZEE wetu wastaafu ambao mlifanyakazi na Mwalimu Julius Nyerere tangu mwaka 1961 baada ya Uhuru

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tunahitaji viongozi wazoefu au wabunifu?(2)

Uongozi ni mchakato wa ushawishi wa kijamii kwamba mtu mmoja anapopata madaraka huwasaidia wengine kukamilisha malengo ya pamoja.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunahitaji viongozi wazoefu au wabunifu?-1

“Nchi inayumba kwa kukosa viongozi, nchi inakufa kwa kuwa na viongozi bandia, maendeleo yanadumaa kwa kukosa uongozi sahihi kuanzia ngazi ya kijiji hadi juu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Makatibu wakuu wastaafu katika wizara mbalimbali waagwa rasmi Jijini Dar

1.

Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.

2.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti...

 

9 years ago

Michuzi

KUAGWA KWA MAKATIBU WAKUU WASTAAFU KATIKA WIZARA MBALIMBALI JANA IJUMAA OKTOBA 9, 2015

Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.   Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati...

 

10 years ago

Mwananchi

Ulinzi wa viongozi wastaafu uwekwe kikatiba

Serikali imesema inapitia upya utaratibu wa ulinzi wa viongozi wastaafu ili kuepuka fedheha iliyotokana na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Matukio ya hatari yaliyowakumba viongozi wastaafu

Tukio la kufanyiwa vurugu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba hivi karibuni limeshtua makundi mengi ya Watanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

VIONGOZI WASTAAFU: Mipango mingi ya Waafrika hukwamishwa

>Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya amesema baadhi ya mipango ya Waafrika imekuwa ikikwamishwa kwenye mikutano ya kimataifa kwa kushindwa kupewa kipaumbele kama ilivyokuwa ikitarajiwa.

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WAKUU CHADEMA LAWAMANI

 Wanachama na Viongozi wa Chadema wakiwemo wa Baraza Kuu la chama hicho, wakipiga kwata kuelekea Ofisi za Msajili wa Vyama vya Siasa, jijini Dar es Salaam, leo, kupeleka barua ya kumuomba Msajili huyo wa vyama, kuwataka viongozi wa ngazi ya juu wa Chadema kuzingatia Katiba ikiwemo kuitisha kikao cha Baraza Kuu na kuzingatia matumizi bora ya fedha za Chama.
 Mjumbe wa Baraza Kuu Chadema ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Temeke Joseph Yona (kushoto) akiongoza wenzake kuingia...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WAKUU EAC KUJADILI MGOGORO WA BURUNDI DAR ES SALAAM

William Samoei Ruto, Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa EAC wakisimama kwa wimbo wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana hivi karibuni kwa ajili ya kujadili mgogoro wa kisiasa unaoikabili Burundi. Mh. Benard Membe ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani