Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunahitaji viongozi wazoefu au wabunifu?-1

“Nchi inayumba kwa kukosa viongozi, nchi inakufa kwa kuwa na viongozi bandia, maendeleo yanadumaa kwa kukosa uongozi sahihi kuanzia ngazi ya kijiji hadi juu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tunahitaji viongozi wazoefu au wabunifu?(2)

Uongozi ni mchakato wa ushawishi wa kijamii kwamba mtu mmoja anapopata madaraka huwasaidia wengine kukamilisha malengo ya pamoja.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunahitaji tafakari ya viongozi wakuu wastaafu

WAZEE wetu wastaafu ambao mlifanyakazi na Mwalimu Julius Nyerere tangu mwaka 1961 baada ya Uhuru

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Habarileo

'Viongozi muwe wabunifu kuinua uchumi'

RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa mkoa wa Morogoro kuwa wabunifu katika kutafuta majawabu ya msingi yatakayowasaidia wananchi kuinua uchumi wao kupitia nyanja za kilimo, ufugaji na biashara ili kukuza vipato vyao na waondokane na umasikini.

 

11 years ago

GPL

WAZOEFU TAIFA STARS KUTAJWA KESHO

Wachezaji wazoefu wa Taifa Stars watakaoungana na wale 16 waliopatikana katika mpango wa maboresho wa timu hiyo watatangazwa kesho (Aprili 19 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwenye ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itapiga kambi kwenye hoteli ya Kunduchi Beach kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Aprili 26 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahitaji ujasiri si msaada

TUMESHTUSHWA na taarifa zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete kuwa kuna mtandao mkubwa wa majangili wanaoendesha biashara haramu ya pembe za ndovu. Kauli hii ni ya kushtusha kwa kuwa serikali haipaswi...

 

10 years ago

Mwananchi

Makamba: Tunahitaji ‘udikteta’

Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Mbunge wa Bumbuli (CCM), January Makamba amekwenda mbali zaidi; anasema dawa ni kufanya uamuzi wa kidikteta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahitaji katiba ya maridhiano

KESHOKUTWA Bunge Maalum la Katiba, lililoahirishwa Aprili 16 mwaka huu, linatarajia kuendelea na vikao vyake bila uwepo wa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). UKAWA walisusia vikao vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani