Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WAKUU CHADEMA LAWAMANI

 Wanachama na Viongozi wa Chadema wakiwemo wa Baraza Kuu la chama hicho, wakipiga kwata kuelekea Ofisi za Msajili wa Vyama vya Siasa, jijini Dar es Salaam, leo, kupeleka barua ya kumuomba Msajili huyo wa vyama, kuwataka viongozi wa ngazi ya juu wa Chadema kuzingatia Katiba ikiwemo kuitisha kikao cha Baraza Kuu na kuzingatia matumizi bora ya fedha za Chama.
 Mjumbe wa Baraza Kuu Chadema ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Temeke Joseph Yona (kushoto) akiongoza wenzake kuingia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa dini lawamani

MKUU wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigalla, amesema kasi ya ongezeko la ufisadi na uhalifu nchini kunatokana na tatizo la viongozi wa dini kutofanya kazi yao ya kukemea maovu...

 

9 years ago

StarTV

Mgogoro Wa Ardhi Kilosa Viongozi waliomaliza muda Tindiga waingia lawamani

Mgogoro uliozuka kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Tindiga wilayani Kilosa na kusababisha wakulima 16 kujeruhiwa baada ya kupigwa na wafugaji wa jamii ya kimasai umebainika kukuzwa na viongozi wa serikali ya kijiji hicho waliomaliza muda wao ambao walihodhi maeneo makubwa ya mashamba ya kijiji na kuyakodisha kwa wageni wakiwemo   wafugaji.

Aidha viongozi hao wanaidaiwa kuwasaliti wanakijiji na uongozi wa kijiji ulioko madarakani kwa kutoa siri za vikao vinavyojadili mikakati ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunahitaji tafakari ya viongozi wakuu wastaafu

WAZEE wetu wastaafu ambao mlifanyakazi na Mwalimu Julius Nyerere tangu mwaka 1961 baada ya Uhuru

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Viongozi wakuu wa UKAWA, Wabunge wawasili kumuaga Kamanda Mawazo

Wakati wapenzi, wafuasi, wanachama, viongozi na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa na wengine wengi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kwa ujumla, wakijiandaa kutoa heshima za mwisho kwa Kamanda Alphonce Mawazo aliyeuwawa kikatili mwishoni mwa juma lililopita akiwa anatekeleza majukumu yake ya kisiasa kama Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, tayari viongozi waandamizi wa chama na

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WAKUU EAC KUJADILI MGOGORO WA BURUNDI DAR ES SALAAM

William Samoei Ruto, Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa EAC wakisimama kwa wimbo wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana hivi karibuni kwa ajili ya kujadili mgogoro wa kisiasa unaoikabili Burundi. Mh. Benard Membe ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira za Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya afrika mashariki jijini Arusha

 Wakuu wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakizindua kitabu rasmi cha Muongozo wa Majaji wa Jumuiya hiyo kwenye Mkutano wa 12 wa siku moja wa Jumuiya hiyo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Arusha.  Rais Uhuru Kenyata wa Kenya ambae ndie Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Mwenyeji wa Mkutano huo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Wengine ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Burundi Bwana Bazombasa, Makamu wa Pili...

 

10 years ago

Michuzi

Butiku Kufanya Mkutano na Viongozi Wakuu wakitaifa Kujadilia Amani na Umoja wa Taifa

Na Anitha Jonas – MAELEZO.
Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation imeandaa  mkutano wa mashauriano  unaotarajia kufanyika tarehe Mei 19-20 mwaka huu, ambapo watajadili mambo mbalimbali kuhusu amani na utulivu wanchi ya Tanzania.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi  Mtendaji wa  Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation Bw.Joseph Butiku alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es  Salaam kuhusu maandalizi ya mkutano  huo na agenda za  mkutano huo.
“Mkutano huu utahusisha viongozi wakuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani