Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMU ZA OBI MOBILES ZAINGIA TANZANIA‏

Simu ya Obi aina ya S550-Crane. Na Mwandishi Wetu MWANZILISHI mwenza wa kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya mawasiliano ya Obi Mobiles, yenye makao makuu yake Singapore, John Sculley amesema ujio wa kampuni hiyo nchini Tanzania, utaongeza wigo wa utumiaji wa tehama na hasa matumizi ya zana za kisasa za mawasiliano. Obi Mobile inatumia teknolojia iliyobuniwa mjini Toronto, Canada na kampuni ya Inflexionpoint. John Sculley,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Simu za Obi Mobiles zaingia Tanzania

S550-Crane-1

Simu ya Obi aina ya S550-Crane.

Na Mwandishi  Wetu

MWANZILISHI mwenza wa kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya mawasiliano ya Obi Mobiles, yenye makao makuu yake  Singapore, John Sculley amesema ujio wa kampuni hiyo nchini Tanzania, utaongeza wigo wa utumiaji wa tehama na hasa matumizi ya zana za kisasa za mawasiliano.

Obi Mobile inatumia teknolojia iliyobuniwa mjini Toronto, Canada na kampuni ya Inflexionpoint.

 John Sculley, ambaye alishawahi kuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Apple...

 

10 years ago

Michuzi

OBI MOBILES VISITS TANZANIA INVESTMENT CENTRE (TIC) TO EXPLORE INVESTMENT OPPORTUNITIES IN TELECOMMUNICATION SECTOR IN TANZANIA

The former Apple CEO and founder of Obi Mobiles Mr. John Sculley discusses a point during their visit of Tanzania Investment Centre (TIC) to explore investment opportunities. This company is now eying the East African market. The former Apple CEO and Obi Mobiles co-founder Mr. John Sculley explains something during the visit of Tanzania Investment Centre offices today, 20 March 2015. On his left is Mrs. Diane Sculley. The meeting between Ministry of Communication, Science and Technology,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampuni za Uingereza zaingia Tanzania

Ujumbe wa makampuni 14 ya biashara kutoka Uingereza upo Tanzania kwa ajili ya kutafuta fursa za biashara.

 

10 years ago

Dewji Blog

Obi kuwekeza kwenye soko la smartphone zenye gharama nafuu Tanzania

DSC_0248

Mkurugenzi Mtendaji wa Obi Mobiles, Afrika Mashariki na Kati na Afrika, Amit Rupchandani (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari )hawapo pichani) jijini Dar leo wakati wa utambulisho wa simu za aina ya smartphone zinazotengenezwa na Obi. Kushoto ni Mkurugenzi wa DESPEC Afrika, Farouk Jivani ambao ndio wasambazaji wakuu wa bidhaa hizo Tanzania na Afrika Mashariki na Kulia Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Obi, Yusuf Khan.(Picha na Zainul Mzige).

Na Andrew...

 

10 years ago

Michuzi

Obi sets sights on Africa smartphone market; brand by former Apple CEO to launch in Tanzania in Q1 2015.

·         New venture led by former Apple CEO, former president of PepsiCo, and renowned tech investor John Sculley aims for rapid global expansion·         Following its successful launch in India and the Middle East, Obi Mobiles plans substantial investments in to the Tanzania smartphone market

·         Signs on renowned regional IT distributor DESPEC as exclusive channel partner in Tanzania and other African countries


Dar es Salaam, Tanzania: 19 January, 2015 – Obi Mobiles, the new...

 

11 years ago

AllAfrica.Com

Tigo Supports Mobiles As Learning Tools


Tigo Supports Mobiles As Learning Tools
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Fay, who is two years old now, sits for hours swiping and playing games using his parent's smart phones. With no hustle or the need of an instructor to show him how to use the phone, he opens it and plays games, takes pictures, watches ...

 

9 years ago

BBC

VIDEO: Slum life movie filmed on mobiles

A group of young Kenyans have filmed a movie about life in the slums using mobile phones.

 

11 years ago

GPL

MAFUNZO YA TEHAMA KWA SIMU YASISITIZWA KUKUZA DEMOKRASIA VIJIJINI‏

Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya Kilombero, Hassan Masala, akifungua mafunzo ya matumizi ya simu kwa habari katika ukumbi wa Mazingira Kibaoni, Ifakara 03 Februari 2014 yanayolenga kukuza taaluma ya upashaji habari kwa kutumia simu. Kushoto ni Afisa Tawala wa Wilaya ya Kilombero Bi. Christa Njovu na Kulia ni Mkufunzi kutoka UNESCO Mama Rose Haji Mwalimu. Mkufunzi wa Teknolojia ya simu kwa habari kutoka Chuo Kikuu Bibi Faith Shayo...

 

10 years ago

GPL

MATUMIZI YA SIMU ZA MKONONI KUONGEZA UZALISHAJI NA MAPATO YA WAKULIMA 30,000 NCHINI‏

Mkuu wa  kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa (kulia) akiongea katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya”Kilimo klabu”inayolenga kuwawezesha wakulima wadogowadogo zaidi ya 30,000 nchini (kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu. Jinsi ya kupata huduma hii piga nyota *149*01# chagua cheka vuna.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani