SINA ACCOUNT YEYOTE YA MITANDAO YA KIJAMII - DAVIS MOSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Y3IAYpGslpA/VcNpgk_W1KI/AAAAAAAHuqs/mrqh4jgMVmo/s72-c/Aqoc2-hg3e6khUnBR2FGtIsP0QPofMcXFnK-nsxzgV_x.jpg)
Napenda kuwajulisha wananchi wote kumetokea tabia ambayo sio nzuri kwa jamii watu kutengeneza maneno na kuanzisha post kwenye mitandao ya jamii isiyokuwa tija ili kumchafua mtu.
Naomba ieleweke kuwa mimi binafsi sina account yoyote ya mtandao wowote wa jamii na wala sina mpango wakuwa nayo maana ninajua madhara yake watu wanatumia visivyo kupotosha jamii ukweli utabaki kuwa ukweli pamoja kwa maendeleo -
Davis Moshi
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziDAVIS MOSHA AKUTANA NA WASANII WA MOSHI
Mwenyekiti wa KDFAA Ndugu Msasu.
Mgombea Ubunge wa Moshi Mjini kupitia Tiketi ya ccm Mh. Davis Mosha Amekutana na wasanii wa Filamu, Maigizo ya Jukwaani, Sarakasi na Muziki wa Mjini moshi. Wasanii hao wakiongozwa na Chama cha Wigizaji na wacheza filam Kilimanjaro (KDFAA)
9 years ago
GPLDAVIS MOSHA: NITAIBADILISHA MOSHI MJINI
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Davis Mosha akiongea na wananchi (hawapo pichani). Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi…
11 years ago
GPLTAJIRI DAVIS MOSHA AFUTURISHA WASANII WA BONGO MOVIES
 Baadhi ya wasanii wa bongo movies wakifuturu.   Wasanii wakifuturu upande wa wanaume.   Davis Mosha akiongea na wasanii wa bongo movie juu ya ujio mpya wa Swahili Media mara…
9 years ago
MichuziDAVIS MOSHA AZIDI KUWAKUNA WANANCHI WA MOSHI KWA SERA
Ikiwa zimesalia Takribani siku ishirini na tisa kuweza kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (ccm) Jimbo la Moshi Mjini Ndugu Davis Elisa Mosha amezidi kumtesa Mpinzani wake kutoka Kambi Pinzani ya Ukawa anayesimama kwa Tiketi ya Chadema Ndugu. Jafary Michael. Hayo yamedhihirika leo katika Mkutano wa Hadhara wa Mh. Davis Mosha katika...
9 years ago
MichuziDAVIS MOSHA AANZA UTEKELEZAJI WA AHADI ZAKE MOSHI MJINI
Katika hali isiyotarajiwa na wengi katika Jimbo la Moshi Mjini, Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Davis Mosha ameanza utekelezaji wa ahadi zake katika Jimbo hilo, wiki chache baada ya kuzungumza na wanamuziki na wasanii kuhusu kazi zao na wasanii hao kuomba kupata kituo cha Redio cha kisasa na Studio ya kisasa ambavyo vitaweza kufanya kazi zao kwa ubora zaidi na pia kufika mbali.Katika kutekeleza hilo Mh. Davis Mosha amekwishaanza ujenzi wa Studio ya Kisasa ya Kituo cha...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YFtpsOEEVoA/VhYKqhAdW5I/AAAAAAAAA9w/2S2V30g7TJo/s72-c/maguu.jpg)
MAGUFULI AMUAHIDI DAVIS MOSHA KILOMETA 10 ZA BARABARA MOSHI MJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YFtpsOEEVoA/VhYKqhAdW5I/AAAAAAAAA9w/2S2V30g7TJo/s640/maguu.jpg)
wa Moshi Mjini Mh. Davis Elisa Mosha.
Mkutano wa Kampezi za Mgombea Urais Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro umerindima jana katika Jimbo la Moshi mjini katika Viwanja vya Mashujaa na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa CCM wa Wilaya, Mkoa na Kitaifa.Mbali na Mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli alikuwepo Mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm na Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndhugu Emanuel Nchimbi,...
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Mfanyabiashara Davis Mosha atangaza kutogombea Ubunge jimbo la Moshi mjini
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hrC63BHVKlE/VacP0mh4wNI/AAAAAAAASSU/C6V9O_O2BhA/s72-c/E86A6393%2B%25281280x853%2529.jpg)
DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-hrC63BHVKlE/VacP0mh4wNI/AAAAAAAASSU/C6V9O_O2BhA/s640/E86A6393%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7Bk-UlaNixQ/VacP0Kt3EVI/AAAAAAAASSY/R8maUDYdgms/s640/E86A6400%2B%25281280x853%2529.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F0-3hZU_F_k/default.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania