Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Singida wafanikiwa kupunguza vifo vya uzazi

DSC03295

Kaimu mganga mkuu mkoa wa Singida, Dk.Ernest Mgeta, akitoa taarifa yake kwenye uzinduzi mpango mkakati wa mkoa wa Singida wa kuongeza kasi ya kupunguza vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini Singida.Wa kwanza kushoto ni mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone na anayefuata ni kaimu katibu tawala mkoa wa Singida, Marando.

Na Nathaniel Limu, Singida

MKOA wa Singida umefanikiwa kupunguza vifo vya akina mama...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Zanzibar yajivunia kupunguza vifo vya uzazi

Afisa Muuguzi wa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Ashura Amour Mwinyi, akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti wa Wizara ya Afya Zanzibar Abdullatif Khatib Haji (alievaa shati jeupe), jinsi ya kuwasaidia watoto kupumua vizuri mara baada ya kuzaliwa. Hiyo ilikuwa hafla ya kukamilika kwa mradi wa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto vitokanavyo na uzazi – MAISHA, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo ya Kimataia la Marekani (USAID), katika ukumbi wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo

a1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la  alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.

a2

a3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

SHILOLE AAHIDI KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI 2020 KUPITIA JUKWAA LA TUNAWEZA


Na Khadija Seif, Michuzi tv
MSANII wa Bongofleva Zuwena Mohammed a.k.a Shilole (pichani) amejipanga kutengeneza baba Bora 2020 na kupunguza vifo vya wakina mama kupitia jukwaa la "Tunaweza.
Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam wakati akitangazwa rasmi kuwa balozi wa jukwaa la "Tunaweza" kupitia taasisi ya Smart Generation inayolenga kutoa elimu pamoja na kubadili mitazamo mibaya kwa vijana pamoja na jamii kwa ujumla Shilole amesema akiwa kama mama yupo tayari kupunguza idadi...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO MKAKATI WA KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI, WATOTO ‏

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Stephen Kebwe .…
...

 

10 years ago

Habarileo

RC: Ongezeko watumiaji wa uzazi wa mpango kupunguza vifo

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amesema ongezeko la watumiaji wa huduma ya uzazi wa mpango nchini utachangia kupunguza vifo vya akina mama na watoto vitokanavyo na uzazi.

 

10 years ago

Habarileo

Vifo vya uzazi Mbinga vyapungua

SERIKALI wilayani Mbinga imepunguza vifo vya wajawazito kutoka 79 kati ya 100,000 mwaka 2010 hadi kufikia idadi ya vifo 65 mwaka 2013, ikiwa ni mkakati wake wa kupunguza vifo hivyo vinavyotokana na uzazi.

 

10 years ago

Habarileo

Zanzibar kupunguza vifo vya wajawazito

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinRAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema suala la kuimarisha maisha ya jamii na kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito na watoto wachanga ni miongoni mwa masuala muhimu.

 

10 years ago

Michuzi

ROBO TATU YA VIFO VITOKANAVYO VYA UZAZI VIMEPUNGUZA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MALENGO ya Milenia ya Nne na Tano yamefikiwa kutokana na mkakati wa kupunguza vifo vya Mama na mtoto nchini vinavyotokana na uzazi kwa robo tatu na kuweza kufikia wakina mama 193 kwa vizazi hai 100,000.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati akitangaza kuwepo kwa Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambayo yatafanyika kesho katika viwanja Mkendo mkoani Mara.
Amesema tafiti zilizofanywa...

 

10 years ago

Habarileo

Amref kusaidia kupunguza vifo vya wajawazito

SHIRIKA la Amref Health Africa Tanzania limepanga kuwapatia mafunzo wakunga 3,800 nchini ifikapo mwaka 2015/2016.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani