ROBO TATU YA VIFO VITOKANAVYO VYA UZAZI VIMEPUNGUZA
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MALENGO ya Milenia ya Nne na Tano yamefikiwa kutokana na mkakati wa kupunguza vifo vya Mama na mtoto nchini vinavyotokana na uzazi kwa robo tatu na kuweza kufikia wakina mama 193 kwa vizazi hai 100,000.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati akitangaza kuwepo kwa Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambayo yatafanyika kesho katika viwanja Mkendo mkoani Mara.
Amesema tafiti zilizofanywa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...
11 years ago
Habarileo15 Aug
Vifo vya uzazi Mbinga vyapungua
SERIKALI wilayani Mbinga imepunguza vifo vya wajawazito kutoka 79 kati ya 100,000 mwaka 2010 hadi kufikia idadi ya vifo 65 mwaka 2013, ikiwa ni mkakati wake wa kupunguza vifo hivyo vinavyotokana na uzazi.
11 years ago
MichuziZanzibar yajivunia kupunguza vifo vya uzazi
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Singida wafanikiwa kupunguza vifo vya uzazi
Kaimu mganga mkuu mkoa wa Singida, Dk.Ernest Mgeta, akitoa taarifa yake kwenye uzinduzi mpango mkakati wa mkoa wa Singida wa kuongeza kasi ya kupunguza vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini Singida.Wa kwanza kushoto ni mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone na anayefuata ni kaimu katibu tawala mkoa wa Singida, Marando.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKOA wa Singida umefanikiwa kupunguza vifo vya akina mama...
5 years ago
Michuzi
SHILOLE AAHIDI KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI 2020 KUPITIA JUKWAA LA TUNAWEZA

Na Khadija Seif, Michuzi tv
MSANII wa Bongofleva Zuwena Mohammed a.k.a Shilole (pichani) amejipanga kutengeneza baba Bora 2020 na kupunguza vifo vya wakina mama kupitia jukwaa la "Tunaweza.
Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam wakati akitangazwa rasmi kuwa balozi wa jukwaa la "Tunaweza" kupitia taasisi ya Smart Generation inayolenga kutoa elimu pamoja na kubadili mitazamo mibaya kwa vijana pamoja na jamii kwa ujumla Shilole amesema akiwa kama mama yupo tayari kupunguza idadi...
11 years ago
Michuzi17 Mar
Wananchi Rukwa Waunga mkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi




Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe.[/caption] ZAIDI ya...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
‘Kupunguza vifo vya wajawazito hakuhitaji serikail tatu’
MKURUGENZI wa Taasisi ya Evidence for Action (E4A), Graig Ferla, amesema suala la vifo vya wajawazito na watoto wachanga nchini halihitaji serikali tatu. Akizungumza na wahariri na waandishi wa habari...
11 years ago
GPL
WANANCHI RUKWA WAUNGA MKONO SERIKALI KUTENGA BAJETI MAALUM KUKABILIANA NA VIFO VYA UZAZI