Siri ya kufanikisha biashara yako
Pata somo kutoka kwa mjasiriamali mtanzania ambaye alianzisha kampuni ya kutengeza aiskrimu kuhusu mbinu kumi bora anazotumia katika kuuza kwenye mitandao ya kijamii
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-sS9ZZTusDEg/XmM4hiiLinI/AAAAAAALhrM/YVkVHkyT35sm3R5wB2N012XSmFf-XUjFACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-06%2Bat%2B14.06.49.jpeg)
Ubalozi wa Tanzania nchini India washirikiana na “Air Tanzania†kufanikisha Kongamano la Biashara na Uwekezaji Jijini Mumbai
![](https://1.bp.blogspot.com/-sS9ZZTusDEg/XmM4hiiLinI/AAAAAAALhrM/YVkVHkyT35sm3R5wB2N012XSmFf-XUjFACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-06%2Bat%2B14.06.49.jpeg)
Pamoja na mambo mengine kongamano hilo lililenga...
5 years ago
BBCSwahili01 Apr
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5b6j9uMimOM/VYP-7cd7hKI/AAAAAAAHhbY/TGn2o7eeZM8/s72-c/New%2BPicture.png)
Je Biashara Yako Inaitaji Tovuti?
Wafanya biashara wadogo huamini kwamba kua na tovuti ni kitu kinachofanywa na wafanya biashara wakubwa na inaitaja gharama nyingi kutengeneza. Hilo sio kweli. Gharama ya kuwa na website ni ndogo sana ukilinganisha na faida utakazo zipata baada ya kuwa nayo. Faida ya kuwa na tovuti ni pamoja na; Biashara yako kuaminika kitaifa na kimataifa. Biashara zote zilizo halisi na zinazoaminika hua na tovuti. Tovuti yako itasaidia kuhalalisha biashara yako. Kuwa na tovuti pia itakusaidia kujitangaza...
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Umuhimu wa kutunza kumbukumbu katika biashara yako
kichwa cha binadamu kina mambo mengi ya kuingia na kutoka kulingana na hali halisi ya maisha ya kila siku. Kwa kuzingatia hali hii, ndiyo maana kuna umuhimu wa kutunza kumbukumbu za biashara ili kuifanya iendeshwe kitaalamu
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Usibwete, kuwa mbunifu katika biashara yako
BIASHARA inahitaji ubunifu wa hali ya juu, ili kuweza kupammbana katika soko la ndani na nje ya nchi. Ubunifu unaweza kuupatikana kupitia wa mtu ama kampuni kwa lengo la kupata...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2Z4X4nsaqK2WWKPUQu6DWYe6hXUv-BGN1-dIJWkaJXhh9FIUiA6XUQPYHyDoJ8G0msPTcI3EOlv4neaM2tS7R90/JAMES.jpg)
9 years ago
Bongo524 Aug
Vitu unavyotakiwa kujua kabla ya kuanzisha biashara yako
Watu wengi wanatamani wawe wajasiriamali au wawe wafanyabiashara na wakati mwingine wameweza kukurupuka na kuingia kwenye biashara kichwa kichwa na wanakimbia. Kuna vitu ambavyo viko wazi na vinahitajika kujulikana kwa kila anayetamani kufanya biashara, inawezekana hakuna mtu anayekuambia kuhusu hivyo vitu ila leo unatakiwa mtu kuvijua kwa undani wake na umuhimu wake. Nimejaribu kufuatilia vibanda […]
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_aCOCRSQH74/VOgxOAK45xI/AAAAAAAHE3w/EbHG6lVmvvA/s72-c/productoverview.jpg)
Tambua Fursa ya Biashara na Umuhimu wa Trevo kwa Afya Yako
![](http://4.bp.blogspot.com/-_aCOCRSQH74/VOgxOAK45xI/AAAAAAAHE3w/EbHG6lVmvvA/s1600/productoverview.jpg)
10 years ago
Michuzi22 Jul
Unayo sababu ya kumiliki Website bora kwa Biashara yako
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/rvc24NE3VhtyiRMqiT11mIp2fa2SQutfnz9pDLgbQy7y-bBnByI0ctHVXfkyQRJSuItOwiWN_2ddG3PF=s0-d-e1-ft#https://dudumizi.com/images/google.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania