Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usibwete, kuwa mbunifu katika biashara yako

BIASHARA inahitaji ubunifu wa hali ya juu, ili kuweza kupammbana katika soko la ndani na nje ya nchi. Ubunifu unaweza kuupatikana kupitia wa mtu ama kampuni kwa lengo la  kupata...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa kutunza kumbukumbu katika biashara yako

kichwa cha binadamu kina mambo mengi ya kuingia na kutoka kulingana na hali halisi ya maisha ya kila siku. Kwa kuzingatia hali hii, ndiyo maana kuna umuhimu wa kutunza kumbukumbu za biashara ili kuifanya iendeshwe kitaalamu

 

10 years ago

Jamtz.Com

KAMA WEWE NI MBUNIFU TFF WANA DEAL KWA AJILI YAKO


Inawezekana ukawa una ubunifu wako lakini ukawa unashindwa wapi utaupeleka na kupata pesa halali ya Kitanzania sasa mchongo huu hapa ambao wameutoa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuwakaribisha wabunifu.
Unachotakiwa kufanya ni kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taifa zitakazokuwa zikitumiwa kwa mechi za nyumbani na ugenini na ubunifu ni lazima uzingatie rangi za bendera ya Taifa.
Mkwanja walioutoa kwa Mshindi wa jezi ya nyumbani atapata sh. 1,000,000 (milioni moja), na...

 

10 years ago

Mwananchi

JITAMBUE:Je unajua kuwa una haja ya kujifunza tabia mpya katika maisha yako?

Je unaweza kuandika orodha ya tabia zako zote? Kama unaweza kuziandika zitenge katika makundi mawili. Kundi moja liwe la zile ambazo zinakusaidia na zenye manufaa hata kwa watu wengine na kundi la pili ni zile ambazo hazina maana na hata zinawaudhi watu wengine. Kama utafanya zoezi hili kwa uaminifu huku ukiamini hakuna atakayeiona orodha yako kuna mambo mawili ambayo huenda ukafikiria kuyafanya.

 

10 years ago

Mwananchi

Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?

“Watu waangalie nini nafanya, burudani gani ninawapa lakini maisha yangu hayawahusu.”

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuwa mbunifu ufanikiwe

KATIKA makala za Maisha Yetu niliwahi kuandika kwamba njia pekee ya kufanikiwa ni kutoruhusu mawazo yanayoleta kizuizi, kama vile kuwaza umaskini au wasiwasi kwa kile unachokifanya. Kama wewe ni mtu...

 

9 years ago

Mwananchi

LUCKY SABAS : Kuwa mbunifu wa mitindo ilikuwa ndoto yangu

Safari yake kwenye tasnia ya uanamitindo ilianza rasmi, mwaka 2006, pale aliposhiriki shindano la Miss Utalii Tanzania. Alipambana na kufanikiwa kuingia fainali katika onyesho hilo lililokuwa na mvuto kwa mashabiki wake kipindi cha awali.

 

10 years ago

Michuzi

Je Biashara Yako Inaitaji Tovuti?

Wafanya biashara wadogo huamini kwamba kua na tovuti ni kitu kinachofanywa na wafanya biashara wakubwa na inaitaja gharama nyingi kutengeneza. Hilo sio kweli. Gharama ya kuwa na website ni ndogo sana ukilinganisha na faida utakazo zipata baada ya kuwa nayo. Faida ya kuwa na tovuti ni pamoja na; Biashara yako kuaminika kitaifa na kimataifa. Biashara zote zilizo halisi na zinazoaminika hua na tovuti. Tovuti yako itasaidia kuhalalisha biashara yako. Kuwa na tovuti pia itakusaidia kujitangaza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Siri ya kufanikisha biashara yako

Pata somo kutoka kwa mjasiriamali mtanzania ambaye alianzisha kampuni ya kutengeza aiskrimu kuhusu mbinu kumi bora anazotumia katika kuuza kwenye mitandao ya kijamii

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani