KAMA WEWE NI MBUNIFU TFF WANA DEAL KWA AJILI YAKO
![](http://3.bp.blogspot.com/-070VQp8Ugoo/VFoCjME7lUI/AAAAAAAABPM/8Dr7QHNPOcU/s72-c/index.jpg)
Inawezekana ukawa una ubunifu wako lakini ukawa unashindwa wapi utaupeleka na kupata pesa halali ya Kitanzania sasa mchongo huu hapa ambao wameutoa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuwakaribisha wabunifu.
Unachotakiwa kufanya ni kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taifa zitakazokuwa zikitumiwa kwa mechi za nyumbani na ugenini na ubunifu ni lazima uzingatie rangi za bendera ya Taifa.
Mkwanja walioutoa kwa Mshindi wa jezi ya nyumbani atapata sh. 1,000,000 (milioni moja), na...
Jamtz.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 Jun
Ujumbe: Kama Wewe ni Kijana, Monalisa Ana Hili Kwa Ajili Yako
"Kijana,ichunge sana LEO yako.Hujui kESHO utafanya nini au utakuwa nani.KESHO itakapofika watu watakuhukumu kwa JANA yako ambayo ni LEO.Chunga sana LEO yako ndio inayokutengenezea KESHO yako." YVONNE CHERRIE
Roho yangu imenisukuma tu kukuandikia ujumbe huu..pengine nitaokoa LEO ya mtu fulani..Kila la kheri
Monalisa on Instagram
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog18 Dec
10 years ago
Jamtz.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-L2_yuGsoP44/VJFNpIgrqrI/AAAAAAAABSo/_H9GIOJqvLo/s72-c/Prof%2Bjay%2BFt.%2BJose%2BChameleone.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Usibwete, kuwa mbunifu katika biashara yako
BIASHARA inahitaji ubunifu wa hali ya juu, ili kuweza kupammbana katika soko la ndani na nje ya nchi. Ubunifu unaweza kuupatikana kupitia wa mtu ama kampuni kwa lengo la kupata...
10 years ago
MichuziTupo kwa ajili yako katika kutoa huduma bora za ujenzi DMV
10 years ago
Vijimambo23 Apr
KAMA WEWE NI WAPANDE ZILE HII UTAIKUMBUKA KITU UGALI WA UNGA WA MUHOGO KWA KUKU WA KIENYEJI FULL OGANIKI.
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpa1/v/t1.0-9/s480x480/11178299_811451325605290_3777891126669522188_n.jpg?oh=392b04bee3153255b31f4e4b567469d3&oe=55CEE78D&__gda__=1436041067_a0ac196a5b331f8b433bcb0b09b332e9)
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu