Siri ya mabilioni ya Uchaguzi Mkuu
Unataka kufahamu CCM na Chadema walitumia shilingi ngapi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25? Utasubiri sana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Feb
USAID yamwaga mabilioni uchaguzi mkuu
9 years ago
Mtanzania26 Sep
Bakwata yatoa siri ya Uchaguzi Mkuu
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
BARAZA la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limefanya uchunguzi na kugundua kuwa Waislamu watamchagua rais asiye na uchungu na nchi yake kwa sababu hawahudhurii mikutano ya kampeni.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Haamid Jongo, alisema kutokana na uchunguzi huo, amewataka Waislamu wote nchini kuhudhuria mikutano ya wagombea wote wa nafasi ya urais bila kujali ukubwa wake ili kusikiliza sera badala ya kusubiria...
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Uchaguzi Zanzibar wazuia mabilioni
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Mwanasheria Mkuu: Ripoti ya mabilioni ya Uswisi ipo tayari
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
9 years ago
GPL15 Sep
10 years ago
Michuzi25 Apr
10 years ago
MichuziPRESS CLUB ZNZ YAFANYA UCHAGUZI NA KUSISITIZWA MAADILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU