Sitta aeleza mizengwe ya uchaguzi
>Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta ameelezea changamoto alizopata katika mchakato wa uchaguzi uliomweka madarakani kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 487.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Feb
10 years ago
StarTV05 May
Kuelekea uchaguzi mkuu, Sitta atoa changamoto wanahabari.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Waziri wa uchukuzi Samwel Sitta amewataka waandishi wa habari kuwa na ujasiri wa kuhoji mambo mazito na magumu wanayoandika hususan ya kisiasa, yanayomgusa mtu binafsi, ili kulinda dhamana yao kwa taifa na watu wake.
Amesema, haitakuwa sawa kuendelea kuandika habari zinazoelemea upande mmoja dhidi ya mtu mwingine, kwa kuwa nyingi zimekuwa na athari kubwa kuanzia ngazi ya familia hadi taifa.
Amesema inasikitisha kuona waandishi wa habari wakiandika...
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Mizengwe ndani ya Ukawa
11 years ago
Habarileo13 Dec
Hakuna mizengwe Daftari la Kudumu
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hakuna mizengwe inayofanywa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kuwanyima haki watu wenye sifa kuandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwaka 2015.
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Wagombea huru dawa ya mizengwe