Wagombea huru dawa ya mizengwe
Mbunge wa Kahama, James Lembeli amesema kuwapo kwa mgombea huru katika uchaguzi wa Rais na wabunge kutaondoa mizengwe ndani ya vyama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Dawa ya wagombea wanaotumia lugha za matusi, vitisho yaiva
Polisi mkoani Mtwara imewaonya wagombea na wafuasi wao kutumia lugha za matusi, vitisho pamoja na fujo katika mikutano ya kampeni.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
UKWELI UTAKUWEKA HURU : Dawa ya Zanzibar ni Rais Magufuli kukubali kufanya kazi na Maalim Seif
Kwa kawaida katika maisha ya kila siku kiburi na jeuri havimsaidii mwanadamu. Nimesoma kwenye magazeti habari inayogusa maisha ya Watanzania wengi.
11 years ago
Mwananchi01 Jul
HURU: Washtakiwa Kesi ya Tabata Dampo huru
>Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa Ilala, John Lubuva na wenzake wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara, wameibuka kidedea katika kesi hiyo.
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Mizengwe ndani ya Ukawa
Ni dhahiri kuwa giza nene limeanza kutawala ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), baada ya tukio la kumtangaza mgombea wao wa urais kuahirishwa mara kadhaa, huku Watanzania wakiwa na hamu ya kumfahamu mwanasiasa huyo anayetarajiwa kuchuana na mgombea wa CCM, Dk John Magufuli.
11 years ago
GPL
NDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE
Stori: Gladness Mallya
HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta katika wakati mgumu baada ya habari kudai kwamba, mchumba wake huyo amemwambia ili ndoa ifungwe lazima aoneshe cheti cha kipimo cha Ukimwi kwanza. Staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba akiwa na mchumba wake. Chanzo chetu cha habari kikizungumza na Amani juzi,...
11 years ago
Habarileo13 Dec
Hakuna mizengwe Daftari la Kudumu
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hakuna mizengwe inayofanywa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kuwanyima haki watu wenye sifa kuandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwaka 2015.
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Sitta aeleza mizengwe ya uchaguzi
>Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta ameelezea changamoto alizopata katika mchakato wa uchaguzi uliomweka madarakani kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 487.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania