Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta afanya mazingaombwe

HATIMAYE Bunge Maalum la Katiba limepitisha Rasimu ya Katiba mpya inayopendekewa baada ya kupata theluthi mbili ya kura zinazotakiwa kwa pande zote mbili za Muungano, Bara na Visiwani kwa mujibu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hiki kiini macho au mazingaombwe?

Mchezo wa ligi ya mabingwa mieleka duniani ulikamata hisia za wengi enzi za akina Hulk Hogan na John Seiner. Ilikuwa vigumu sana kumtoa mtu wa rika yoyote kwenye TV mara shindano lilipoanza. 

 

10 years ago

Raia Tanzania

Walimu hawahitaji mazingaombwe ya ahadi

WIKI iliyopita nilizungumzia kuhusu kukamilika vyumba vya madarasa na maabara katika shule za sekondari nchini, lakini nikagusia uhaba wa walimu unavyoathiri wanafunzi wa masomo ya sayansi.

Shule zinaongezeka kila kukicha, mwaka jana tu zilisajiliwa shule 106, kati ya hizo shule za awali zilikuwa mbili, za msingi 53 na sekondari 17 hizo ni za serikali, zisizo za serikali zilikuwa 32.

Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa jumla ya vyuo vya ualimu...

 

10 years ago

KwanzaJamii

USULUHISHI BUNGE LA KATIBA MAZINGAOMBWE MATUPU

Mchakato wa Katiba Mpya umeendelea kuzua vioja mjini hapa kufuatia mkutano wa kusuluhisha wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Tanzania Kwanza ili kunusuru Bunge Maalum la Katiba lililogawanyika vipande vipande kushindwa kujitokeza katika ukumbi uliokuwa umepangwa. Mkutano huo ambao ulipangwa kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Dodoma, haukufanyika kutokana na kutojitokeza hata mjumbe mmoja kutoka katika wajumbe wa Ukawa unaounda na vyama vya Chadema, CUF na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea mazingaombwe na ramli — Kikwete

IMG_7716

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba mara baada ya kutunukiwa Digrii ya Heshima ya Uzamivu (PhD Honoris Causa) katika mahafali hayo ya pili ya Taasisi hiyo jijini Arusha mwishoni mwa wiki. (Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

IMG_7719

-Pia asema kuwa ubishi wa siasa hauwezi kutoa majawabu ya changamoto za maendeleo

-Asisitiza umuhimu wa internet akielezea kuwa elimu ya sayansi haipatikani kwenye magazeti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani