Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SITTA AMPA TAARIFA YA MWENENDO WA BUNGE MAALUM DKT. SHEIN

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akimpatia taarifa juu ya mwenendo wa Bunge Maalum la katiba na ulipofikia, Rais Wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohammed Shein, alipomtembelea nyumbani Ikulu ya Migombani Zanzibar. Mhe Sitta alikuwa Visiwani Zanzibar kwa lengo la kuonana na Mhe. Shein kumpatia taarifa kamili ya shughuli za Bunge Maalum la Katiba. Picha na Owen Mwandumbya - Bunge Maalum

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Bunge Maalum la Katiba kuendelea — SITTA

2 (1)

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis  akizungumza na waandishi wa habari  jana (hawapo pichani) kuhusu  kuendelea kwa  Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti  wa Bunge hilo, Samuel Sitta   katika ukumbi wa mikutano  wa ofisi ndogo za Bunge  jijini  Dares Salaam.

3

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza  Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari jana  (hawapo pichani) kuhusu  kuendelea kwa  Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya...

 

10 years ago

Habarileo

Sitta- Kusitisha Bunge Maalum hasara

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amesema iwapo Bunge hilo litasitishwa fedha zote za wananchi zilizotumika tangu kuanza kwa mchakato huo miaka mitatu iliyopita zitakuwa zimeteketea bure.

 

11 years ago

Michuzi

MH. SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. samuel Sitta akiongoza kikao cha kamati ya uongozi ikiwa ni pamoja na kupitia ratiba ya Bunge hilo leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Yahya Khamis Hamad. Mwanasheria Mkuu wa serikali Mhe. Fredrick Werema akifafanua jambo wakati wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum leo. Kamati hiyo ilikaa kupitia ratiba nzima ya Bunge Maalum na jinsi litakavyoendelea na sura za rasimu ya katiba. Wajumbe wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum...

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AMJULIA HALI MJUMBE WA BUNGE MAALUM ALIYEJERUHIWA NA WATU WASIOJULIKANA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akimjulia hali mjumbe wa Bunge Maalum kutoka kundi la 201 Mhe. Thomas Mgoli aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma  baada ya kujeruhiwa na watu wasiojikana wakati akipata huduma katika duka moja lililopo karibu na mahali anapoishi Mjini Dodoma. Picha na Owen Mwandumbya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani