Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta avunja Kamati ya Uongozi

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ametengua uteuzi wake wa awali wa nafasi tano za Kamati ya Uongozi ili kuifanya kamati hiyo kuwa na uwakilishi mpana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Samuel Sitta atengua Kamati ya Uongozi

Hatimaye Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ametengua uteuzi wake wa wajumbe watano na Kamati ya Uongozi na kuteua wajumbe wapya wa kamati hiyo, akiwapo Mwenyekiti wa Kundi la Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe na Waziri wa Katiba na Sheria wa Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar kutoka CUF, Abubakar Hamis Bakari.

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI

Mwenyekiti wa Bunge la Maalum la Katiba Mhe. Samwel Sitta, akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha  Bunge  hilo  mjini Dodoma jana , Kufanya  tathmini ya vikao vya Kamati za Bunge hilo vinavyoendelea, ambapo wenyeviti wa Kamati hizo walionyesha kuridhishwa kwao na  hatua  wanayoendelea  nayo katika Ngazi ya kamati. Picha na Owen Mwandumbya

 

11 years ago

Michuzi

MH. SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. samuel Sitta akiongoza kikao cha kamati ya uongozi ikiwa ni pamoja na kupitia ratiba ya Bunge hilo leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Yahya Khamis Hamad. Mwanasheria Mkuu wa serikali Mhe. Fredrick Werema akifafanua jambo wakati wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum leo. Kamati hiyo ilikaa kupitia ratiba nzima ya Bunge Maalum na jinsi litakavyoendelea na sura za rasimu ya katiba. Wajumbe wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum...

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI MUHIMBILI ATEUA UONGOZI MPYA


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz             
Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
     STATE HOUSE,
             1 BARACK OBAMA ROAD, 
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na...

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza  jumanne 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. Picha na Owen Mwandumbya

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...

 

10 years ago

Habarileo

Sitta avunja Bodi ya Bandari, ateua mpya

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amefuta uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuanzia jana na kuteua wajumbe wengine wapya nane wanaounda bodi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe avunja uongozi Chadema Ukonga, Ilala

>Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameuvunja uongozi wa chama hicho kwenye majimbo ya Ukonga na Ilala kutokana na kutoelewana kwa muda mrefu baina ya viongozi na kutofanya  vizuri kwa chama hicho kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14 mwaka jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani