Samuel Sitta atengua Kamati ya Uongozi
Hatimaye Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ametengua uteuzi wake wa wajumbe watano na Kamati ya Uongozi na kuteua wajumbe wapya wa kamati hiyo, akiwapo Mwenyekiti wa Kundi la Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe na Waziri wa Katiba na Sheria wa Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar kutoka CUF, Abubakar Hamis Bakari.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Apr
Sitta avunja Kamati ya Uongozi
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ametengua uteuzi wake wa awali wa nafasi tano za Kamati ya Uongozi ili kuifanya kamati hiyo kuwa na uwakilishi mpana.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fRF5RrKDUqg/U-orOXCCL5I/AAAAAAAF-9w/9rPyibLETuY/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-fRF5RrKDUqg/U-orOXCCL5I/AAAAAAAF-9w/9rPyibLETuY/s1600/unnamed%2B(24).jpg)
11 years ago
MichuziMH. SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM LEO
11 years ago
MichuziSITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Ni Samuel Sitta
SAMUEL Sitta jana alichaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba kwa kura 487 dhidi ya 69 za mpinzani wake, Hashim Rugwe, huku akijigamba kuwa kuchaguliwa kwake ni...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Samuel Sitta aweweseka
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amesema iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ina hadhi ndogo kuliko Bunge Maalum. Amesema kutokana na hadhi ndogo hiyo, ndiyo maana wametoa...
11 years ago
IPPmedia23 Mar
CA Chairman Samuel Sitta
IPPmedia
IPPmedia
Tension gripped Dodoma this week as word went round that a cross-section of politicians had planned to boo President Jakaya Kikwete during his official inauguration of the Constituent Assembly, Friday evening. The plan was initially hatched by some ...
CA members commend president's inaugural speechDaily News
New Chapter in History As Kikwete Inaugurates CA On FridayAllAfrica.com
all 21
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Samuel Sitta ni mzalendo!
KAMA ni hadaa za kisiasa kwa Samuel Sitta, basi tuna kila sababu ya kumshauri kwamba imetosha, maana lengo lake la kujijenga kisiasa linazidi kuyeyuka na sasa ni kama anajitengenezea fedheha...
11 years ago
Mwananchi28 Mar
... Samuel Sitta awekwa mtegoni