Sitta na Katiba yake ya visasi
OKTOBA 2, mwaka huu, Bunge Maalum la Katiba, uligeuka ukumbi wa disko kwa muda, ambapo wajumbe waliimba, kucheza kwa kukata mauno, kubebana, kupigana picha za video na mnato, kujitwisha vibakuli...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s72-c/PIX-13.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya
![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s1600/PIX-13.jpg)
Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.
Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...
10 years ago
TheCitizen27 Aug
MY TAKE ON THIS: Mr Sitta, the question is ‘What kind of katiba?’
11 years ago
TheCitizen10 Jul
Chadema says Sitta not sincere on Katiba
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Sugu: Samuel Sitta alisaliti ahadi yake
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Sitta: Katiba inaruhusu kununua uongozi
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Sitta ataweza kubadili filamu ya Katiba?
WENGI walipenda kuiita ni vichekesho ‘comedy’ lakini kwangu naomba niende mbele zaidi na kuita kuwa ni filamu, hili ni Bunge Maalumu la Katiba ambalo tangu limeanza mkoani Dodoma niliamua kujiondoa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NeM-hAiJXxo/U-y7fBLZlsI/AAAAAAAF_oA/tWJVMhZMxQk/s72-c/sitta.jpg)
Katiba itakuwa ni ya Makundi yote - Mh. Sitta
![](http://2.bp.blogspot.com/-NeM-hAiJXxo/U-y7fBLZlsI/AAAAAAAF_oA/tWJVMhZMxQk/s1600/sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amewahakikkishia Watanzania kwamba Katiba Mpya itakayopatikana itakuwa imezingatia matakwa ya makundi mbalimbali.
Mhe . Sitta aliyataja makundi hayo baadhi ya makundi hayo kuwa ni wafugaji, wakulima, wavuvi na wasanii.Huku akisema Katiba Mpya itakayopatikana itakuwa ni bora kuliko ya iliyopo sasa.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhe . Sitta wakati akizungumza na wafugaji wapato 44 kutoka mikoa mbalimbali,ambao...
10 years ago
TheCitizen11 Sep
Proposed Katiba to be ready as planned: Sitta
11 years ago
Dewji Blog26 Jul
Bunge Maalum la Katiba kuendelea — SITTA
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari jana (hawapo pichani) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ndogo za Bunge jijini Dares Salaam.