Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta: Katiba inaruhusu kununua uongozi

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema kushamiri kwa vitendo vya watu wachache kujitajirisha na wengine kununua uongozi, kunatokana na Katiba ya sasa kutokuwa na meno ya kupambana na rushwa na ufisadi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

BALOZI SEIF ALI IDDI: POKEENI FEDHA ZA WANAOTAKA KUNUNUA UONGOZI NDANI YA CCM

   SALVATORY NTANDUMkamo wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Alli Idd amewataka viongozi wa ngazi za matawi,kata,wilaya na Mikoa kuzipokea fedha zinazotolewa na baadhi ya watia nia wanaotaka uongozi ndani ya Chama cha mapinduzi(CCM) mkoani shinyanga na kuwafichua kwa vyombo vya usalama ili wachukuliwe hatua Kali za kisheria.
Kauli hiyo ameitoa Julai 26 mwaka huu wilayani Kahama mkoani Shinyanga katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo akiwa ni mlezi wa CCM mkoani...

 

11 years ago

Habarileo

Sitta avunja Kamati ya Uongozi

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ametengua uteuzi wake wa awali wa nafasi tano za Kamati ya Uongozi ili kuifanya kamati hiyo kuwa na uwakilishi mpana.

 

11 years ago

Mwananchi

Samuel Sitta atengua Kamati ya Uongozi

Hatimaye Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ametengua uteuzi wake wa wajumbe watano na Kamati ya Uongozi na kuteua wajumbe wapya wa kamati hiyo, akiwapo Mwenyekiti wa Kundi la Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe na Waziri wa Katiba na Sheria wa Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar kutoka CUF, Abubakar Hamis Bakari.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta: Vijana msiwape uongozi watu mafisadi

>Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta amesema vijana watafanya makosa endapo tu wataikabidhi nchi mikononi mwa wahuni ambao wanapenda kutumikia matumbo yao kwa nguvu ya pesa kitu kitakachowacheleweshea maendeleo yao.

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI

Mwenyekiti wa Bunge la Maalum la Katiba Mhe. Samwel Sitta, akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha  Bunge  hilo  mjini Dodoma jana , Kufanya  tathmini ya vikao vya Kamati za Bunge hilo vinavyoendelea, ambapo wenyeviti wa Kamati hizo walionyesha kuridhishwa kwao na  hatua  wanayoendelea  nayo katika Ngazi ya kamati. Picha na Owen Mwandumbya

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

11 years ago

Michuzi

MH. SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. samuel Sitta akiongoza kikao cha kamati ya uongozi ikiwa ni pamoja na kupitia ratiba ya Bunge hilo leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Yahya Khamis Hamad. Mwanasheria Mkuu wa serikali Mhe. Fredrick Werema akifafanua jambo wakati wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum leo. Kamati hiyo ilikaa kupitia ratiba nzima ya Bunge Maalum na jinsi litakavyoendelea na sura za rasimu ya katiba. Wajumbe wa kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum...

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza  jumanne 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. Picha na Owen Mwandumbya

 

10 years ago

TheCitizen

MY TAKE ON THIS: Mr Sitta, the question is ‘What kind of katiba?’

>The Constituent Assembly (CA) chairman, Mr Samuel Sitta, has pleaded with Tanzanians to give the assembly time to finish its work because abandoning it would subject the country to immeasurable loss. According to Mr Sitta money spent by the defunct Constitution Review Commission (CRC) and the CA would mean nothing to the country if CA activities are shelved now as proposed by many people.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani