Sitta: Nitadumisha Muungano
Na Joseph Manyonyi, Bunda
WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, amesema ataendelea kudumisha na kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ikiwa atapewa ridhaa ya kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sitta alisema hayo juzi, wakati akiwashukuru wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bunda waliofika kumdhamini ili ateuliwe kuwa mgombea urais, shughuli iliyofanyika katika kiwanja cha Ofisi ya CCM Wilaya ya Bunda, mkoani Mara.
Mgombea huyo alisema ataulinda Muungano wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Mar
Sitta kuwashughulikia wanaopinga Muungano
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu, Samuel Sitta, amesisitiza msimamo wake wa kuwashughulikia wajumbe wa Bunge hilo wenye nia ya kuvunja Muungano uliodumu kwa miaka 50 sasa. Awali kabla ya kusisitiza msimamo wake, Mjumbe wa Bunge hilo, Mchungaji Christopher Mtikila, alidai kuwa kauli hiyo ilimlenga yeye kumtisha kutokana na msimamo wake wa kupinga Muungano.
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Hnc0O0Hxb4g/VlLWS7jQ51I/AAAAAAAIH7w/HMt_9a4LoNI/s72-c/IMGL0862.jpg)
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hnc0O0Hxb4g/VlLWS7jQ51I/AAAAAAAIH7w/HMt_9a4LoNI/s640/IMGL0862.jpg)
Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UhcQEJn1XYQ/VHn9rV-JTnI/AAAAAAAG0Qk/TtyPew4En98/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...